Upeo wa nape (.....) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upeo wa nape (.....)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ngoshwe, Oct 20, 2011.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kauli zinazotumiwa na Mhe. Nape pengine zinaonyesha upeo mdogo wa fikra alionao, na pia zinaanika nia aliyonayo ndani ya CCM na ni dhairi yeye si mkaaji ndani ya chama hicho na sijui ni kigezo gani kilitumika kumpa wadhifa wa Ukuu wa Wilaya na huu wa "Uchochezi" alionao sasa au labda ilitumika mbinu ya "Mchawi mpe Mwana alee"

  Anayasema haya kwenye Facebook yake:

  Nape Nnauye
  ‎"tumeshinda Igunga ili tuheshimiane..."


  [​IMG]Mobile Uploads
  Nape Nnauye
  ‎"maneno yako baba yanaishi, uliyoyasema yanatimia, wanaojaribu kuyapinga yanawapinga wao na miisho yao twaishuhudia ni mibaya"


  [​IMG]Mobile Uploads
  Nape Nnauye
  ‎"....teh teh! Mwangwi wa kipigo dhidi ya watuhumiwa wa ufisadi Igunga huoooo!!!!"


  [​IMG]Mobile Uploads

  Nape Nnauye
  ‎"Ukitaka kujua kesho ya zizi la ng'ombe angalia ndama wake"


  [​IMG]Mobile Uploads   
 2. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  ........kaka waachieni ccm vuvuzela lao, sasa hv wamelionya liache kupigwa nje ya uwanja (kikao/vikao) burudani imepungua
   
 3. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kaka mbona kinyume chake, upeo wako wewe ndo wa kutiliwa mashaka. Hakuna cha maana ulichoandika hapa na tunajiuliza ulitaka kufanya maonyesho ya picha au vipi? Jaribu kujifunza kukaa kimya unapokuwa huna hoja na usigeuze JF kuwa sehemu ya ku-pass time kabla hujaenda kuvizia msosi kwa wazazi.
   
 4. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mimi mwenyewe sijaelewa mleta mada alikuwa na ujumbe gani kwa wanaJF.
   
 5. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nape anatumika kama vile spika tu, ni machache sana yanayotoka moyoni kwake
   
 6. N

  Ngoiva Lewanga Senior Member

  #6
  Oct 23, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani Nape hana vision wala mission anasubiri maagizo ili kutekeleza. Nape ni kama kiberenge, kazi yake mnaijua!
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Honestly am completely lost .Am I the only visitor to Jerusalem ?
   
 8. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Nape Nnahuye is CCM party disappointment ever; yeyote aliyempendekeza anajutia mapendekezo yake!
   
 9. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Nape Nnahuye is CCM party's disappointment ever; yeyote aliyempendekeza anajutia mapendekezo yake!
   
 10. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Nape Nnahuye is CCM party disappointment ever; yeyote aliyempendekeza anajutia mapendekezo yake!
   
 11. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Nape Nnahuye is CCM party's disappointment ever; yeyote aliyempendekeza anajutia mapendekezo yake!
   
 12. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Nape Nnahuye is CCM party's disappointment ever; yeyote aliyempendekeza anajutia mapendekezo yake!
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Baadhi ya wana jf wamefilisika kwa hoja..wanatuletea umbea km magazeti ya uwazi na kiu..mfano ni huyu aloleta hii mada apa.
   
Loading...