Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Naipendatz, Oct 20, 2011.

 1. N

  Naipendatz JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 917
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 80
  Kauli mbiu ya CHADEMA ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa Libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia Gadaf.

  CHADEMA wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja JK wetu na magwanda yao kama chinjachinja!!

  Sipendi CHADEMA wanachofanya, sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya CCM na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya CHADEMA kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia!

  Go CCM, go JK, go Nape! I believe the new CCM is coming soon, CCM itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi!

  Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa CHADEMA, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan rebels=CHADEMA!! El 4 2015
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ugonjwa unaougua utapona siku chadema itakapoingia magogoni na si muda mrefu.
  Mnaua watu wananchi wasio na hatia kila kukicha halafu mnaimbisha watu juu ya amani fake!
   
 3. N

  Naipendatz JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 917
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 80
  Libyan lebels=cdm nchini,ni wa kuogopwa zaidi ya ukoma! El 4 2015
   
 4. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  umeongea kinyume kaka, hakuna waasi libya ila NTC walikuwa waasi kwa gaddafi
  lakini sasa hiyo ni NEW GOV ya libya na leo wamekabiziwa kiti chao rasmi UMOJA WA NCHI ZA AFRIKA
  au hujui maana ya waasi? hata nyerere alikuwa muasi mbele ya mkoloni, tumia bichwa hilo sio kukariri maneno
   
 5. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Huyu ni mang'aa wa siasa hata alichoandika hakieleweki unalinganisha Libya(ambako hawujui bunge nini ) na Tz
   
 6. N

  Naipendatz JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 917
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 80
  Everywhere they are called lebels! Hata hao wazungu wanaowasapoti wanawaita lebels,unajua maana ya lebels mkuu? Wale ni waasi tu utake usitake, kama cdm wanavyojaribu kuvunja aman ndani ya tz! El 4 2015
   
 7. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umenofurahisha sana wewe ,chadema ni zaid ya waasi wa libya,wao hata udiwani wako tayali kuua!
   
 8. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kumbe unamfanyia kampeni laigwanani wa monduli. Sasa chadema inahusikaje kwenye chaguzi za magamba? Hizi shule za kata zimewaharibu wengi.
   
 9. undugukazi

  undugukazi JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Chadema ni waasi kabisa...naomba itangazwe rasmi kua chadema ni janga la kitaifa kama malaria na ukimwi..mtuliepuke jamani..mwatanzania hamjazoea vita acheni kuwaendekeza wajinga wachache wenye uchu wa madaraka kwa propaganda za kutetea haki za watanzania na wengine vibaraka kama CUF na MTIKILA...fungueni macho yenu watanzania
   
 10. N

  Naipendatz JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 917
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 80
  Kumbe hata wewe umeona eh? Hawa cdm ni janga la taifa letu pendwa tz
   
 11. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ..acha utoto, Gaddafi hakuwa mzalendo!! wewe unafikiri aliua wangapi ili kukaa madarakani? Na watanzania acheni ushabiki wa kihohehahe, watu tunataka kama kiongozi hutakiwi na wananchi uondoke madarakani, siyo mtindo wa kuiba kura kama CCM ya Nape huku unasema wananchi wanakupenda kumbe wanaogopa kuuawa kama wanachadema walivyouawa Igunga.
   
 12. N

  Naipendatz JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 917
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 80
  Afrika hajawah kutokea na hatokuja kutokea rais mzalendo and mwenye msimamo kama gadaf! Cdm wanaua watu wao wenyewe halaf wanasingizia ccm ili wapate popularity kwa wananchi and kuchonganisha! Cdm ni waroho wa vyeo na fedha
   
 13. pinochet

  pinochet JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Is it lebels or rebels? Shule za kata zina matatizo yake.
   
 14. Beso

  Beso JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  wewe ni mbuzi unayewaza nyasi!!
   
 15. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kuna Mtanzania anakusapoti kweli?Kama yupo inawezekana mmepata discharge pamoja MILEMBE.
   
 16. N

  Naipendatz JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 917
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 80
  Kweli mzee, wewe unajua sana kiingereza,duh!!! Ulisoma london nini?
   
 17. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Chadema is an officially recognized institution and will vanquish JK through polls not demonstrations. We won't have to wait until matters exacerbate like in Libya but rather (will) keep on using political platform to clearly adddress CCM points of weakness to the voters. Igunga has spoken and the movement ripples out the whole country which in the end will witness a peaceful overthrow of CCM regime.
   
 18. M

  Makupa JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ccm is destinied to govern this country in the next one hundred years simply because the existing opposition political parties are just a group of disorganized activists
   
 19. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  makamanda wanasonga mbele, hatuwezi sikiliza pumba zako hizo...
   
 20. M

  Mfwalamanyambi JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 434
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  Kwa jinsi ulivyolalamika inaonesha wewe tayari ni maskini na umeikubali hali hiyo na umeshakata tamaa kabisa. Nahisi pia na umri wako ni wa uzeeni ndo maana unaogopa kufa. Kaa na umaskini wako (unaosema bora uwe nao ukiongozwa na CCM),tuache vijana tuitafute haki ili kujenga taifa jipya lenye maendeleo na kuheshimiana.
   
Loading...