Dossier ya Rostam Aziz inahitajika haraka sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dossier ya Rostam Aziz inahitajika haraka sana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MwanaHaki, Oct 23, 2011.

 1. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #1
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Waungwana

  Dossier ya huyu mtu, Rostam Aziz, inahitajika haraka sana. Tunataka kumjua undani wake wote, kwani tunataka kum-expose. Inaonekana dhahiri kwamba yeye -- tangu enzi za Richmond -- anahusika na mpango mzima wa Richmond na DOWaNS!

  Ili kumshinda adui yako lazima umjue vema, ujue udhaifu na uimara wake, ili uweze kupanga mkakati wa ushindi!

  Mwenye taarifa zake tunaomba, kwa niaba ya Watanzania, atupatie. Nitumieni PM wenye data zake!

  Asanteni!

  ./Mwana wa Haki
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  kila la heri.
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Mtafute mwanasheria wake, ana detail zake zote.
   
 4. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  nitajie nyota yake nipige ramli
   
 5. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hana chcochote kama mnavyofikilia alipopewa option [Opportunit] na wenye akili zao kati ya kuwa machine au binadamu alichagua kuwa machine, baada ya uchaguzi wake kuwa machine ndio haya yanayojili,kila linalofanyika liko nyuma ya machine,


  Dunia ili isonge mebele na maisha yaendelee, inaitaji aina mbili ya bin adamu wema na waovu [Kwa kuwa uovu aujulikani pasipo wema kuona uovu huo].Hatuwezi kusema binti huyu ni mzuri pasipo sisi wenyewe kuonyesha uzuri huo wa binti una nini cha ziada kuliko wenzie.

  Kuwa Machine:

  Kuna faida ya kuwa machine na kuna hasara zake.Kwa kuwa ukiwa machine wakati wote utakuwa active na productive na hisia za kibinadamu zimekosaa utu ndani yako, japo wewe ni binadamu ndio hao ambao wanadiliki kua ili deal lake au jambo lake lifanikiwe.Na machine ina muda wake nao ni Life time expected in wear and tear.Ndio maana kila deal nyeti yeye yumo,wenye switch yake wapo sema kwa kuwa nae na binadamu ana hisia ila hana utu upoteza mwelekeo wakati mwingine kwa kuwa kasi yake yaweza kupanda ama kushuka pasipo wao kujua tatizo liko wapi,hivyo uingia tena kuanza kukagua machine hiyo inatatizo gani,uagizwa engineer mwenye uelewa wa Tatizo kuja kuona machine imeingia kwenye tatizo lipi.Siku mwenye machine akiamua basi anaweza kuamua kungoa mashine hiyo na kuingiza mpya au kuibadilisha mfumo wake kuwa ana aina nyingine ya matumizi.Wakati mwingine forman alieingia shift kucontrol amchine ushindwa kujua ufaniisi wa kuiendesha machine kutokana na uwezo wa uelewa juu ya machine hasa kama formen mwenyewe shule yake ilikuwa ya kudesa.

  Kuwa Bi-adamu
  Uwezi kuendeshwa kwa kuwa unahisia na unatambua wema na ubaya.

  Kwa ujumla hana lolote engineer wake wa kwanza ni Mzee mmoja wa Dodoma, upumbazwa na kuwa na access ya hizo power,na financial position,ndio maana wadhamini wake wakikomaa ufyata,tatizo la wadhamini wake wakati mwingine awajiamini hasa watu wazima [Wazee] kama sasa hivi wamemuachia kijana mmoja tu, na kwa kuwa uweza kuwatisha wazee wa zamani waliojengwa na kuogopa na si kuheshimu vivuli vyao hata kama ukweli kivuli hicho akipo.Amebaki kijana mmoja ambae kwa kuwa ni mtoto waasisi wa udhamini wake kamwe sikio alidhidi kichwa HAMUWEZI HATA KWA KUNGOA MLIMA KILIMANJARO na hiyo ndio uzuri wa nature [Yani asilia], na ndio maana sisimizi aliua tembo ni kutokana na aina hii ya mienendo hii.

  Katika swala zima la maigizo haya wachezeshaji wa mchezo utaka kufanya tafsiri halisi ya MAISHA, leo hii Watanzania nzima wanajua athari nzima za swala la Richmond na Dowans na pia umepatikana uelewa na ufaham wa mambo mengi sana kupitia swala la RICHDOW.Watanzania kupitia arbam hii maisha yameendelea na maproducer wake wameona ni upande upi wataumie kutafuta uzuri wa Arbam mpya iwe na vionjo gani Watanzania watapenda kusikiliza.

  Wataalamu hawa wa falasafa ya maisha wanapotengeneza Thesis na Synthesis, wewe unaehusika ndie unaitimisha binafsi kuwa katika drama yote nzima UNATAKA KUACHIVE NINI?.

  YEYE PIA USISAHAU KUMUULIZA AT THE END AFTER HAVING ALL THAT HE HAVE AND HE STIL SEARCHING BY HOOKS OR BY CROOKS ANATAKA KUACHIVE NINI?

  GHADAFI NA KUSEARCH BY HOOKS AND CROOKS KWA KUMILIKI UTAJIRI WA TRIONI 140 AMEISHIA WAPI,MOBUTU, MARCOS NA WENGINEO WENGI.

  10-23-2011 10-19-30 AM.jpg
  Nimesema pale juu kuwa amefanikiwa kuwatisha wazee wengi kupitia wadhamini wake lakini kwa tabia ya asili [Nature] kuwa ukimtisha na kumuogopesha baba jua kwa Mtoto vitisho havina nafasi,kama ni mfuatiliaji wa sinema hasa za Kihindi kama ililitokea baba akauwawa na maadui zake revange ufanywa na mtoto.Wanachotaka kusema pale ni jinsi gani Mungu anamakusudio kwa waovu wa mja wake, na ndivyo hivyo hata sinema za kinaigeria na hata baadhi za kimagharibi.

  Kwa kuwa Gadhafi aliwatisha Baba za wauaji wake kamwe vitisho hivyo aviwezi kufanya kazi kwa watoto hiyo ni kanuni ya asilia.Ndio maana Nape ni Kijana Mdogo lakini majaribio yao wanaishi kumpa vitisho lakini majaribu yao hayana nguvu,yameweza kuwazima watu wazima na wengi wao kweli wako chari.Ukibisha waulize waliotaka kumwangusha Zitto iliishia wapi japo,yeye kidogo uwa anajisahau anajiunga na zama ambazo sio zake,anapaswa kuludi kutetea maslahi ya kizazi cha zama zake na wadogo zake ambao hawajazaliwa,sio aingie kwenye kizazi cha ponda raha kufa kwaja.


   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kama hadi leo hamna dossier ni bora mkakojoe mlale
   
 7. Michese

  Michese JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kukuruka mwana!
   
 8. m

  mharakati JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  duh! huyu jamaa ni roboti? inawezekana lakini, kanchi maskini kama haka kukaibia wazi wazi bila huruma lazima ufanane na mashine
   
 9. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sasa unataka kumu-expose mtu usiyemjua ndo utajua mabaya yake. Kale senene zako ukapumzike
   
 10. Chechetuka

  Chechetuka JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 549
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna habari gani kuhusu Rostam ambayo haijaandikwa ktk magazeti? Nenda ktk GOOGLE, utapata kujua machache kuhusu FISADI huyu
   
 11. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Unamchekesha ha ha ha Ngoja aje
   
 12. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Rostam Abdulasul Aziz, EPA masterminder, holding power of attorney in Richmond / Dowans, kingmaker, former CCM treasurer (let The CAG audit the books of accounts during his time and you'll see where some of his money came from), he owns logistic company in many mining companies in Tz BUT you'll never see his company name surface in the best TRA tax payers.
   
 13. O

  Omr JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  We unajisumbua tu, tajiri kama yule wala hababaishwi na upuuzi kama huu. Hela inaongea kijana, anauwezo wa kukununua wewe na familia yako yote pamoja na finding zako ulizokusanya.
  Hii ni Tanzania na hela ndio inaongea. Wabunge wote wa CDM na baadhi ya wa CCM wamemshindwa huyu jamaa, wewe utaweza. Hii ni nchi yake yeye sio yako wewe.
   
 14. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Strength yake iko pale Magogoni, huyo mpangaji wa Magogini ndiyo King Pin wake, kwasababu yeye ndiye alikuwa King Maker wake.

  Dawa yake ni simpo kama tuna uthubutu, ni kumuondoa huyo mpangaji wa magogoni, then the guy will automatically fall
   
Loading...