Salma kikwete ana hisa kwenye shule ya kituruki Dar es Salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salma kikwete ana hisa kwenye shule ya kituruki Dar es Salaam

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by realtanza, Oct 23, 2011.

 1. r

  realtanza Member

  #1
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ana hisa kwenye shule ya waturuki dar es salaaam, kwanini wao wageni wasimiliki wenyewe hizo shule
   
 2. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  Kigogo au ndugu ya kigogo anapomiliki hisa kwenye kampuni au shirika hasa kwa nchi yetu ni mazingira yanaandaliwa ya au kukwepa kodi au kukwepa taratibu zingine!!!! wake up!!
   
 3. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu, ebu tufafanulie shule gani? na ana hisa ngapi?
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Kuna sheria yoyote inayomkataza kuwa na hisa ktk taasisi yoyote?.
   
 5. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hofu ya watanzania ni kwamba kutakuwa na undue influence ya first lady katika kupata kibali cha kujenga hiyo shule kitu ambacho sio sawa. Nadhani umenielewa sasa. Kama unavyojua kwa sasa firstlady/firstboy wote wanahadhi sawa na rais wetu na ndio maana wakisema wanataka kiwanja fulani hatakama sheria hairuhusu watapewa tu! si umesikia yaliyotokea Mwanza ya riz1 na Dodoma ya S.K Foundation haya yote ni ukiukwaji ya sheria kwa jina la rais.
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  watu wangapi wanamiliki ardhi kitapeli, hao nao ni wake na watoto wa raisi!.
   
 7. j

  jigoku JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mzee umezeeka kama hata hili hulielewi na hutaki kuelewa basi hhuenda dhambi za mafisadi zimekudhuru.
   
 8. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Du kama hili lina ukweli naanza kupata majibu ya maswali niliyokuwa najiuliza nilipomuona mume wake kwenye mahafali ya Feza Secondary.
   
 9. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Kwani ni haramu yeye au mwengine kuwa na hisa. Hata mimi na wewe kama tuna pesa tujiunge tufungue yetu shule. Ama nunua hisa precision air. Tuwache kuwa wanafiki mwenzio akipata lawama tele.
   
 10. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,590
  Likes Received: 1,676
  Trophy Points: 280
  Huyu ni wivuy sasa,
  Waki,miliki wenyewe mnalia,
  sasa huoni hapo ni poa as long as wasitumie jinas la mama kupata privileges.
   
 11. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Matumizi mabaya ya cheo cha Rais
   
 12. u

  upupu. Member

  #12
  Oct 23, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmh.! wakuu hapo ni noma.
   
 13. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  chukua chako mapema - ccm.
   
 14. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ni vema kuwa na wasi wasi huo na kuufanyia kazi ili kuthibitisha hisia. lakini kuanza kutuhumu watu bila ya kuwa na ushahidi, si jambo zuri
   
 15. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ulinyang'anywa computer nini? Au ya wizi! Mbona habari hii imejishukia kama kipande cha karatasi?
   
 16. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Michelle Obama, the America's first lady is a shareholder of Chicago Bulls Club and America has never raised this kind of criticism.
   
 17. T

  Topical JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  watu wengine ni aibu kuwepo JF

  Hisa kwenye shule unafikiri kitu kubwa sana ...

  Shule kila mtu anaweza kujenga acha umbea..
   
 18. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  hizo hisa ndo zinasababisha mtaala wa elimu ya watanzania kuachwa ijichunge kama kuku wa kienyeji, na hizo shule zao kuwa na elimu ya ubora tofauti. HAWAANGALII UBORA WA ELIMU YA KAYUMBA, Kwa kuwa nawe unakipaji cha uji.nga endelea kushabikia upum.b.avu.
   
 19. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hisa za precision air ni sh. 450@. Kanunueni.
   
 20. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Kwa nini hakumiliki alipokuwa hajawa First Lady kama kuna uhalali?
   
Loading...