Wizara ya maliasili na utalii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara ya maliasili na utalii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Oct 24, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Tunashangazwa sana na kitendo cha wizara hiyo kushindwa kuhamasisha watanzania umuhimu wa kupigia kura mlima kilimanjaro,
  kwa kweli inasikitisha kwa sababu watanzania wengi wameshindwa kujua nini kinaendelea na nini kinatakiwa kufanywa.

  Kura zilizopigwa mpaka sasa hivi ailimia 75% ni wazungu na watu waishio nje ya Tanzania wasio watanzania,
  ukilinganisha na Africa kusini kupigia kura mlima wao asilimiaa85% ni waafrica kusini bila kushirikisha sana wageni,
  nataka kuwauliza swali wizara,kazi ndogo namna hiyo kuhamasisha watanzania mnashindwa?
  waziri tukuweke kwenye kundi gani?kazi imekushinda?

  Hata kuingilia kati swala muhimu kama hili unashindwa mkuu?
  najua ulikula kitabu pale mzumbe na una qualification lakini kumbe kitabu na kazi ni vitu viwili tofauti?


  Mbona kila siku mnafatilia pet cash? Mnahindwa kukodi watoto wa pale manzese wenye maspika kwenda kutangaza kila kona?
  watanzania ailimia 50% wana uwezo wa kutumia internet na simu,je mngehamasisha kiasi cha kutosha si tungepata hiyo nafasi?
  mashavu yaliyojaa manyama choma na ugali ndio mnahamsisha??

  Kila mchana kupata bia inakusaidia au inazidi kukumaliza?
  hivi kuna haja ya kuangalia IQ ya mtu kabla hajapewa kazi?
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kazi ndogo sana hata mimi ningeweza,wanafanya makusudi au hawajui wanalofanya
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mitanzania ndivyo ilivyo
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wanajua kula nyama na bia,eti wasomi
   
 5. i

  iMind JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Wametoa matangazo kwenye TV na Magazeti, binafsi nimeona na wamefanya press conference. Sijui unataka wahamasishe vipi.

  Nafikiri hili ndo tatizo. Siyo kweli kuwa 50% ya watanzania wanajua kutumia internet. Ni kweli wengine wana simu zinazoweza kutumika ku surf lakini hawawezi ku surf. Hili ndo tatizo kubwa.
   
 6. G

  GanjaAsh Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bodi ya utalii ikishirikiana na TANAPA wametoa matangazo kwenye TV na namba ya simu kama unapiga kwa kutumia simu.
  Nimemuona Mzee Mwinyi kwenye Tangazo mojawapo akihamasisha.
  Sasa sijui ulikuwa unataka matangazo ya aina gani
   
 7. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu ni vizuri ukaangalia tatizo mama,
  waTz wengi ni mbumbumbu na maimuna. na hii ilifanya strategical ili watawaliwe muda wote na serikali ya magamba kuanzia kipindi cha mchonga. kwa hiyo wala usiwalaumu kwani hata wengi hawajui internet ni kitu gani acha hiyo kuitumia. just fanya karesearch kadogo, toka nje hapo ulipo halafu uliza watu wawili unaowaona karibu juu ya internet then utaelewa ninachokuambia. tatizo si waziri bali ni tanu-ccm, 1961-2011.
   
 8. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,576
  Likes Received: 1,670
  Trophy Points: 280
  Hakuna Bajeti ya hii kitu ndugu yangu, Tatizo mijitu iliyo kuwa huko aijuhi umuhimu wa SOCIAL NETWORKS, Leo nimeona matanagzo ya nafasi ya kazi TIGO wanatafuta watu kwa ajaili ya Kukaba huko kwenye Facebook, twitter,youtube kwaajili ya matangazo na feedback kutoka kwa wateja wao.
  ila bajeti ya kutengeneza matangazo ya kuonyesha Uingereza tena mlina huohuo ipo!
   
Loading...