We really don't have an attorney general in Tanzania...Werema ana bahati sana kuwa na hii kazi.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

We really don't have an attorney general in Tanzania...Werema ana bahati sana kuwa na hii kazi..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nderingosha, Oct 24, 2011.

 1. n

  nderingosha JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 3,526
  Likes Received: 1,313
  Trophy Points: 280
  Kila mtu nchini tz amekuwa akilalamikia muhimili wa sheria nchi hii ya tz na jinsi ambavyo ofisi ya mwanasheria mkuu ambayo ndio inatakiwa kuwachukulia hatua wale walioibia nchi raslimali zake.........na pia wale wanaohujumu nchi kila kukicha.

  Tatizo naliona liko kwa huyu mwanasheria mkuu wa tz bwana Werema....kwa kweli nimekuwa nafatilia utendaji wake nakugundua kuwa huyu bwana ana bahati sana kuwa na hiii kazi....kwani kwa rais makini huyu bwana asingetakiwa kuwa na hii kazi....kwa kweli jamaa hana capacity per se.....Nimebidi niangalie profile yake maana nimegundua viongozi tulionao ni wasanii sana na vi resume vyao vingine vina kozi za kuunga unga yaani ni aibu tupu...hata huyu bwana naona ni hivyo hivyo.Kielimu....jamaa elimu yake ya mwisho eti masters degree!!!!tena ka masters ka mwaka mmoja...alikopatia USA.

  Nimegundua kuwa jk ana addiction na USA kwani yeye akishaona mtu kasoma marekani tu hata kama ni ka kozi ka certificate yeye haijalishi.....anajua kuwa marekani ni kila kitu.....aibu tupu yaani....kwa attorney general...kuishia na ka masters!!!.Mi ninaamini kuwa post ya attorney general yahitaji msomi aliyekubuhu na mwenye experience tosha.....at least PhD inampa mtu experience nzuri kikazi.....ulizeni (namaanisha PhD ya ukweli si hizi za kupeana kama za jk).

  Ndio sababu jk kwenye baraza lake kajaza vihiyo kwa mtazamo tu wengi ukifatilia wamesoma vikozi vingine vya kuungaunga lakini jamaa kawapa vyeo.Nimefikia kujadili post ya attorney general kwani nimejiuliza sana inakuwaje kuna upuuzi mwingi umetokea tz haswa kwenye mikataba feki lakini attorney general anaona mambo sawa tu???something must be wrong with the guy.....

  Na nimegundua tatizo liko kwenye level yake ya elimu.......mtu kujua mikataba na kuichambua kisheria ni swala la ki academics si lelemama......shule lazima iwepo ya kutosha....sasa huyu bwana nahofu kama ana tatizo kubwa na alichobaki yeye ni kuvuta mda ili muda wake wa kustaafu ufike achukue chake akapumzike kama ilivyokuwa kwa waliopita(jamaa kabakiza kama 3 years kustaafu-jk akimaliza nae anastaafu).

  Kwa kumwangalia judgement zake nime coat hapa toka gazetini maneno ya huyu mwanasheria mkuu wetu...yaani!!! read these statement and analyze the guy:(chini)

  "Some people say the company is fictitious…but it was there," Mr Werema argued.
  He said the decision by the International Chamber of Commerce (ICC) to award Dowans about Sh110 billion as compensation arose from the termination of the contract that Tanesco signed with Richmond.

  The AG wondered how legal professionals could question a legal matter decided in court.He said he had heard some people, including law students, calling him a buffoon for allegedly wrongly advising the government.

  "I want to say I am very smart and if someone wants to confirm let him go and see my academic results," he charged, adding: "Sometimes I ask myself why I should keep a certificate from this faculty (the Faculty of Law of the University of Dar es Salaam) because the people there are disappointing me."

  Mr Werema was reacting to remarks by the former deputy attorney general, Mr Arnold Kileo, that the government was failing this nation by signing dubious contracts that allowed foreign companies to benefit more from local natural resources."It is pity we are celebrating them (the foreign companies)…they are exploiting us because of our own stupidity and kickbacks of 10 per cent," Mr Kileo had claimed.

  Angalizo:
  • Ni mambo mangapi yanaamuliwa mahakamani kimakosa baada ya legal personnel ku question legal matters decided in courts kimakosa????ndio maana kuna rufaa kwani si yote yanayoamuliwa mahakamani ni sahihi.....yeye anauliza kwanini legal personnel wauliza????is this the guy we call our attorney general????huyu jamaa ana matatizo si bure....

  • Anasema yeye he is very smart!!!!eti anashangaa wanaoulizia capacity yake?eti wasome CV?? how many fake professionals do we have?? hakuna mtu ambaye ni smart anasemaga kuwa yeye ni smart (never).Smart people are judged by others and by their actions.Smart people never judge themselves as with the case with Werema. Kwanza CV yake is non impressive.....you can check it out from the bunge website......jamaa doesn't deceive the post (i swear).
  • Lastly, eti jamaa anasema...eti he wonders if he should keep the certificate from the faculty of law(UDSM)?, this is very very funny and ridiculous of the guy.....his resume has nothing better than his undergraduate law degree from udsm. I wouldn't say that his one year masters(LLM) plus some certificates would be better than his LLB!! on the other side, i would suggest he keeps his LLB degree than anything he has acquired so far because this is probably the best academic achievement he has.
   
Loading...