Hili La Dr. Kafumu mbunge wa Igunga linanitatiza! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili La Dr. Kafumu mbunge wa Igunga linanitatiza!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Papa D, Oct 12, 2011.

 1. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mheshimiwa Kafumu alitoa Hotuba yake ya kwanza Jijini Dar. Hii ni baada ya kutangazwa Mbunge wa Igunga. Pia alikubali maandamano ya kwanza kumpongeza kufanyika Dar si Igunga alikokuita nyumbani wakti wa kampeni. Je, kawatendea haki wakazi wa Igunga? ccm wanatueleza nini juu ya hii dhihaka?
   
 2. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Maswali ya kina Nape haya, ngoja nisepe...
   
 3. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Unamuongelea yule mbunge wa manzese ?
   
 4. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  labda kaahidiwa uwaziri badala ya mzee megawat
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  wakati mnaambia mchague mnaemjua mkakubali kushikwa masikio poleni ndio muanze kujua sasa mnatakiwa kufanya nini 2015..
   
 6. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,122
  Likes Received: 2,181
  Trophy Points: 280
  mmmmhh!
   
 7. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Damu ya mauaji daima itamfuata popote atakapokuwa pamoja na mshika pesa wake Mwigulu Nchemba pesa zilizomlewesha hadi kuchukua wake za watu.
  Haki ya mtu haipotei yeye afurahi tu kupata ubunge kwa dhuluma, uuaji Mungu yupo hii laana itafuata siku zote labda uuache huo ubunge.
   
 8. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  poleni wanaigunga jamaa ndo huyooooo kesharudi dar rasmi huko atarudi tena kuomba kura kipindi kijacho
   
 9. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Inawezekana watu wa Dar ndio waliomwezesha kushinda,that is why hakuona umuhimu wa kuwashukuru watu wa Igunga
   
 10. MANI

  MANI Platinum Member

  #10
  Oct 12, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Umenena mkuu!
   
 11. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Akina Nape nao walitaka kuonesha kuwa Avumaye baharini Papa ..................
   
 12. L

  LATTICE BOND JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaelekea maneno yako yana ukweli maana hadi sasa kuna maiti watatu wameshatajwa na wote ni wafuasi wa CDM!! [mmoja confirmed wengine nimewasikia humu humu jamvini!!]
  Ewe allah! tafadhali ondoa hawa ibilisi wanaotaka kusambaratisha taifa hili tamu!!

   
 13. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  watalipa kwa waliyotenda
   
 14. p

  potokaz Senior Member

  #14
  Oct 15, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Waziri wa giza(nishati) a.k.a Mr. Megawati, tusubiri tuone
   
 15. M

  Makupa JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hivi nyie viwavi wa cdm mambo ya ccm yanawahusu nini,jadilini ni jinsi gani nchi yetu changa inaweza kukabili chamgamoto zilizopo na si kutoa tu mada zisizokuwa na mshiko shame on you wanazi wote wa cdm
   
 16. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hii ni kama kumchukua miss Dar unampeleka kugombea uwakilishi Singida....unategemea atakaa singida? this is bull shit
   
 17. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  kawaulize igunga
   
 18. Wabogojo

  Wabogojo JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Confirmation utaipata pale Mh. Kafumu atakapoapishwa na huku akipigiwa makofi mengi ya nderemo na vifijo na wale wote wanaoshabikia udhalimu huu uliopitiliza wa hadi kutoa roho za raia wema mle mjengoni Dodoma ktk kikao kijacho cha Bunge.
  And once confirmed to be true then every Tanzanian with good wish for our present & next generation will definately deny that TANZANIA is no longer a pieceful country under the existing regime.

  Gooday day all!
   
 19. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Kama hauwajui viongozi wa ccm,huyu ni mmoja kati yao.
   
 20. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,215
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280

  This could be a genuine reason!
   
Loading...