UDSM mpeni Lowassa PhD mapema kabla hajaapishwa

Mmang'ati

Senior Member
Jan 8, 2011
184
49
Nawashauri vyuo vikuu vyote Udom,mzumbe,sokoine udsm mumuandalie El honourable Phds na kumtunuku mapema aitwe Dr kabla hajawa president ili tusiwe na mjadala juu u dr wake pindi atakapokuwa magogoni. Nawasilisha
 
Wazo zuri sana hilo na mimi naliunga mkono kutokana na jinsi alivyojitolea maisha yake yote kuifilisi nchi hii na watu wake. Nashauri iwe ni Phd ya ufisadi na sanaa na maigizo.
 
Bora upige kelele hiyo PHD apewe mama ako kwa kukuzaa Tanzania ili uone mafisadi wanavyokufilisi wewe na kizazi chako chote
 
tuna matatizo mengi yanayotusibu...hivi hao kina EL na PHD zinatusaidia nini na matatizo yetu...Nyambafu zenu mnaoleta hoja za kimagamba humu jamvini...
 
Mleta mada nataka kuchangia hoja hii ya huyo raisi wako wa maboksi lakini namuheshimu Mod!
 
Kwa kuwa Mislamu alipewa hiyo PhD na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam sasa Wakristo mwaona donge mpaka na mkristo mwenzenu naye apewe?
 
Kwa kuwa Mislamu alipewa hiyo PhD na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam sasa Wakristo mwaona donge mpaka na mkristo mwenzenu naye apewe?
wewe kweli ***** mbona kwa Gadafi hujatoa tamko na mmarekani ataendelea kuwamaliza.
 
Watu wenye akili finyu kazi yao kubwa ni kufikiria maisha ya watu...mfano ni huyu alieleta hii thread
 
Kwa kuwa Mislamu alipewa hiyo PhD na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam sasa Wakristo mwaona donge mpaka na mkristo mwenzenu naye apewe?
Chuki zako juu ya uislam isiwe sababu ya kuwachunganisha watu kwa sababu ya dini. Nina uhakika wa 100% wewe si muislam ila unataka kuchonganisha wattu. Pumbafu yako.
 
Back
Top Bottom