Mh Sitta, ondoka CCM watanzania tukuone shujaa wa kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh Sitta, ondoka CCM watanzania tukuone shujaa wa kweli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by naninibaraka, Oct 24, 2011.

 1. naninibaraka

  naninibaraka JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 658
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  MH Sitta ni kiongozi aliyefanikiwa kupita kwenye nyazifa mbalimbali ndani ya serikali ikiwemo uspika pamoja na uwazir,ni kiongozi ambaye amekuwa akitoa kauli nyingi ambazo binafsi hazitoi taswira ya moja kwa moja kwamba kasimamia wapi,ni mtu ambaye amekuwa akiikosoa serikali ambayo yeye ni kiongozi,pengine anafanya hivyo kwa kuwa anajua serikali inayotuongoza kwa sasa ni dhaifu lkn siamini kama ingekua ni serikali ya mkapa angethubutu kuropoka hovyo kama anavyofanya,kama mh sitta ni kiongozi shupavu atoke ndani ya CCM ili atuaminishe watz kuwa ni mwanharakati wa kweli ambaye ana uchungu na nchi yake,aachie nyumba ya uspika ambayo ina gharimu serikali gharama kubwa,authibitishie umma pia hakuwahi kuwa mwanzalishi wa CCJ,kwa kuwa ameonyesha dhahiri kutofautiana na serikali ambayo na yeye ni sehemu ya serikali basi hana sababu ya kuendelea kuwa ndani ya CCM tofauti na hapo ni mnafiki ambaye anapaswa kupingwa kwa kila jambo aache kuwaongopea watz,ni huyuhuyu Sitta alisimama bungeni na kusema posho za wabunge ziongezwe huku akijua kuwa wabunge wamekuwa ndo wanaonufaika kwa sasa na kusahau kuwa wafanyakazi ambao ndo nguvu kazi ya nchi yetu wanalipwa ujira mdogo,pengine alifanya hivi ikiwa ni namna ya kujipigia kampeni ya kurudi kwenye nafasi ya uspika ingawa pia CCM ilimtosa,kwa mtizamo awe jasiri ahamie upinzani au CCJ ili watz tuamini haya anayoyasema.....

  Naomba kutoa hoja
   
 2. naninibaraka

  naninibaraka JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 658
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  MH Sitta ni kiongozi aliyefanikiwa kupita kwenye nyazifa mbalimbali ndani ya serikali ikiwemo uspika pamoja na uwazir,ni kiongozi ambaye amekuwa akitoa kauli nyingi ambazo binafsi hazitoi taswira ya moja kwa moja kwamba kasimamia wapi,ni mtu ambaye amekuwa akiikosoa serikali ambayo yeye ni kiongozi,pengine anafanya hivyo kwa kuwa anajua serikali inayotuongoza kwa sasa ni dhaifu lkn siamini kama ingekua ni serikali ya mkapa angethubutu kuropoka hovyo kama anavyofanya,kama mh sitta ni kiongozi shupavu atoke ndani ya CCM ili atuaminishe watz kuwa ni mwanharakati wa kweli ambaye ana uchungu na nchi yake,aachie nyumba ya uspika ambayo ina gharimu serikali gharama kubwa,authibitishie umma pia hakuwahi kuwa mwanzalishi wa CCJ,kwa kuwa ameonyesha dhahiri kutofautiana na serikali ambayo na yeye ni sehemu ya serikali basi hana sababu ya kuendelea kuwa ndani ya CCM tofauti na hapo ni mnafiki ambaye anapaswa kupingwa kwa kila jambo aache kuwaongopea watz,ni huyuhuyu Sitta alisimama bungeni na kusema posho za wabunge ziongezwe huku akijua kuwa wabunge wamekuwa ndo wanaonufaika kwa sasa na kusahau kuwa wafanyakazi ambao ndo nguvu kazi ya nchi yetu wanalipwa ujira mdogo,pengine alifanya hivi ikiwa ni namna ya kujipigia kampeni ya kurudi kwenye nafasi ya uspika ingawa pia CCM ilimtosa,kwa mtizamo awe jasiri ahamie upinzani au CCJ ili watz tuamini haya anayoyasema na pia ili awe huru zaidi kuzungumza.....

  Naomba kutoa hoja
   
 3. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hii nikweli kabisa!
   
 4. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  naona kipindi cha dakika 45 leo wanampa air time nyingine....huyu akae huko huko ccm na ikibidi nae wampige sumu tu.......
   
 5. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,389
  Likes Received: 10,563
  Trophy Points: 280
  mjukuu wangu kuna thread kama hii niliipost juzi juzi.
   
 6. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ukisikia wana JF wanamuita 6 MNAFIKI unadhani wanamuonea?
   
 7. O

  Omr JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aondoke CCM aende wapi? Tanzania kuna chama kimoja tu na ni CCM, wengine wote ni chamgamsha bunge.
   
 8. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sitta, uwa simuelewi kabisa analalamika CCM kuna mafisadi lakini ataki kuhama
   
 9. m

  mharakati JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ana mahesabu yake mwacheni muda bado sana kufika 2015, mi namuona ni mzalendo na siyo mnafiki, wewe nani kasema kwenye siasa hamna hypocrisy? siasa ni kama hesabu ambazo hazina kanuni na unafiki ndiyo njia pekee ya kudumu kwenye siasa

  Chadema bwana mbona hamuambii ZZK ahamia CCM kwa sababu anapenda uswahiba na mafisadi na JK
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Labda aanzishe chama chake, hakuna atakapofiti. Au mnategemea aende kwenye kila chama chenye waasi wanaotoka ukoo mmoja. Kwanza watamkubalia anatisha Sitta wale wamezoea kupokea makapi ya akina Mpendazoe, Shibuda na wengine. Sitta ataendelea kubaki CCM wanaotakiwa kuondoka CCM ni magamba 2 ili chama kibaki kuwa Clean.
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Halafu mbona unajichanganya sana wewe kwa hiyo akihamia Upinzani kauli yake ya wapunge waongezewe mishahara atasamehewa ili awe msafi? ujue hata akitoka CCM akaja upinzani bado ni spika Mstaafu ataendelea kukalia nyumba ya serikali tu. Watu wengine bwana kwa hiyo unamponda ili aonekane kwamba si bora kuliko MBOWE Na SLAA? acha hizo wwe
   
 12. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,359
  Trophy Points: 280
  Tatizo halitatuliwi kwa kulikimbia!!!
   
 13. l

  luckman JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  u should think positively, fighting against wrongs it is not neccessary to quit from where u are, what if it could be ur own home!u could have quited out??the guy is good, who else apart from sitta, cant u reason out and come up with the bottom line that is good and he can stand with his own two fits, el had a press C. who can tell us the main purpose of that pc was what??how many things the bad ones connected to him (funds embazlement) corruption,dowans and richmond!but he failed to talk about this!last tv show on mlimani sitta explained very clear about ccj, he talk about dowans and richmond and he allowed the citizens to ask him questions via telephone and he replied all the quiz, 45min itv, he talked alot and he made him available if he needed to explain something! the enermy of jesus was among of the team he selceted but after discovering he never quited!those are very weak reasons! sitta up to know is the only learder in ccm who dispalyed his color about the country destiny!!!!!!!!
   
 14. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umejichanganya mtoa mada pale ulipoandika 'ahamie upinzani au CCJ'. Sijui ulikua unamaanisha nini?
   
 15. M

  Mwansiti Omari Member

  #15
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ushujaa unaweza kuwa popote hata ndani ya ccm kuna mashujaa na mafisadi ila yeye yuko upande wa wanaopinga ufisadi ndio mana huwa anachukiwa. Na ndani ya ccm nusu mafisadi na nusu watetea haki so ni bora abaki apambane nao kuliko kuwakimbia na kuwaanja wakijinafasi na tamaa yao ya kupata uraisi 2015.
   
 16. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aombe msamaha kwa kukashifu upinzani kuhusu posho.
   
 17. l

  luckman JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  hilo tunaweza kwenda sawa kuwa alikosea kutetea posho ila sio sababu zilizotolewa na watangulizi hapo juu!
   
 18. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 874
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 60
  Nina mashaka na ufahamu wako wa kuielewa katiba na mtazamo wa kisiasa.vyema ukaaza upya kujisomea uelewe hoja ya bunge la vyama vingi.Punguza umaimuna.
   
 19. v

  valour Senior Member

  #19
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Sioni sababu ya kuhama chama. Kinachonishangaza na mimi kila mara ni kwanini haondoki kwenye uwaziri ili akae pembeni akosoe vizuri. Haingii akilini uko kwenye baraza la mawaziri halafu unabaki kuiponda serikali ambayo nawe ni kiongozi mmoja wapo. Ni kweli kama unavyosema amejua udhaifu wa serikali ya sasa ingekuwa ya awamu ya tatu asingethubutu kabisa kuropoka. Mungu awape hekima ya kuongoza maana kwa sasa limekuwa gulio.
   
 20. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Karibu atatoa maamuzi magumu, amewasikia
   
Loading...