Mlima Kilimanjaro: Ni kwa manufaa ya Kisiasa au ni kwa manufaa ya wananchi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlima Kilimanjaro: Ni kwa manufaa ya Kisiasa au ni kwa manufaa ya wananchi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Njaare, Oct 24, 2011.

 1. N

  Njaare JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wana Jamvi naomba kuuliza.

  Nimeona matangazo mengi kuhusu kuupigia kura Mlima Kilimanjaro uwepo kati ya maajabu saba ya Dunia. Mimi kama mwenyeji wa mkoa huu na mkazi wa maporomoko ya mlima huo nimeshindwa kuelewa ni nini faida kwetu sisi wakazi kama mlima huo ukiingizwa kwenye orodha ya maajabu saba ya dunia.

  Tumeshuhudia maeneo kama ngorongoro ambapo kitendo cha kuwepo kwenye orodha ya urithi wa dunia kimefanya eneo hilo liwe msumari wa moto kwa wamasai na wasonjo ambao ni wakazi wa asili. Wenyeji wakitumia eneo hilo wanaambiwa wanaharibu urithi wa dunia, ila mwarabu anapokuja kuua na kukamata na kusafirisha wanyama, mahoteli makubwa yanapojengwa kwenye mapito ya wanyama, hakuna taabu. Ukiangalia mbuga ya Selous, mzungu anaruhusiwa kuchimba Uranium lakini kwa mwafrika hata kuchota maji mbugani ni taabu.

  Wasiwasi wangu ni kuwa mlima huu ukiingia katika maajabu saba ya dunia inaweza ikawa sababu ya wenyeji kunyang'anywa ardhi yao kwa kisingizio cha kutunza maajabu ya dunia halafu ikapewa wazungu/wawekezaji.
   
 2. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Mlima Kilimanjaro kuingia katika Maajabu saba ya dunia. Hiyo ni kuwa katika rekodi tu za kihistoria. Ila suala la mlima huu kutumika vibaya kama kuwanufaisha watu wachache,hilo ni suala jingine kabisa.
   
 3. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu wewe piga kura tushinde. haya yakisiasa yanamwisho kwa hiyo usihofu. vijana tupo kazini kuhakikisha siasa ni kwa ajili ya wote na si kwa ajili ya matumbo ya viongozi na ya familia zao.
  unaweza kuutunga mkono lakini ukipenda ili kutokomeza siasa za kipumbavu za nchi hii.
   
 4. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Good points sir...

  How long shall we vote for THEM?
   
 5. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  Communities benefit from Mt Kili climbers

  From MARC NKWAME in Arusha, 12th June 2011 @ 11:41, Total Comments: 0, Hits: 2104


  LOCAL communities around Mount Kilimanjaro earn over 20bn/- from Africa's highest peak, which goes directly into their pockets.

  A recent study by the Overseas Development Institute (ODI), which is Britain's leading Independent ''Think tank,'' and whose results were presented in Arusha over the weekend, has indicated that local residents earn 28 per cent of the total revenue from foreign visitors.

  Funded by the Netherlands Development Organization (SNV), the ODI study concluded that it was the world's highest and most successful transfer of resources from international tourists to poor people in the locality.

  ''This is the most successful transfer of resources from international tourists ever seen in Africa or Asia,'' said Mr Elibariki Heriel-Mtui the SNV Adviser in Private Sector Development, when tabling the report before local tour operators in Arusha.

  It is Mount Kilimanjaro only in Tanzania which channels the largest share of its earnings (28 per cent) straight into local residents' pockets.

  The study titled ''Making success work for the poor: Package tourism in Northern Tanzania'' was conducted around Mt Kilimanjaro in Moshi and Ngorongoro Conservation Area Authority in Arusha, by Jonathan Mitchell, Jodie Keane and Jenny Laidlaw.

  Mount Kilimanjaro which is Africa's highest peak attracts more than 35,000 annual climbers and the earnings from the total in-country tourists expenditure is about 50 million dollars (80bn/-) per year.

  According to the SNV-ODI study, the generated money is also a significant economic input in a rural context.

  The study found that the tourism earnings from Mt Kilimanjaro which is equivalent to over 13 million dollars or 20.8bn/- is considered pro-poor expenditure.

  The basis for this estimate of pro-poor expenditure, according to the ODI includes all the wages and tips received by climbing staff.

  Also, 90 per cent of food consumed on Mount Kilimanjaro is sourced from the local market in Moshi and the suppliers to this market are overwhelmingly local small-holder farmers.

  The study indicates that 50 per cent of expenditure on cultural goods and services was pro-poor as craft shop, retail outlets and curio stalls suggest that poor producers receive approximately 50 per cent of the retail price.

  Around 16 per cent of all accommodation costs were found to be paid in non-managerial wages and are therefore also considered pro-poor.

  ''We estimate that 5 per cent of national park fees expenditure is pro-poor because although TANAPA staff is well-paid, the authority employs local casual labour for cleaning operations and significant funds are also distributed,'' said Mr Mtui.

  Kilimanjaro National Park fees include a 60 dollars daily entrance fee, 40 dollars daily camping fee and a 20 dollars rescue fee.

  More than 400 guides, 10,000 porters and 500 cooks get permanent employment in the climbing expeditions and these benefit from 60 per cent of the earnings. There are also 28,000 people who benefit indirectly from handicraft business and sales of other tourist targeting artifacts not to mention thousands of local farmers, peasants and traders who supply food and services to visitors.

  The total pro-poor impact of Kilimanjaro (13 million dollars) is however a drop in the sea when reflected in the total tourism earnings from the annual number of tourists (about 700,000) who visit the Northern Tanzania Circuit and who reportedly spend a total of 103 million dollars (165bn/-) per year, touring mostly Mt Kilimanjaro, Serengeti National Park and the Ngorongoro Crater.

  Ngorongoro Crater itself attracts close to 400,000 visitors per year, more than ten-times the number of tourists visiting Kilimanjaro.

  Other northern zone attractions contribute just 18 per cent to the local communities surrounding them. The Ngorongoro Conservation Area Authority contributes US$ 1.2 million every year to the local pastoral pastoral community.

  ''The implications are that, if the aim is to use tourism to help lift people out of poverty at scale, then mainstream tourism should be the primary target for pro-poor interventions,'' the SNV official said.
  Daily News | Communities benefit from Mt Kili climbers

  MY TAKE:

  Tuache politics hii ni independent study ilifanywa na SNV, na kwa taarifa yako hamna tourism source inayowanufaisha wanavijiji kama Mt Kilimanjaro ukianzia wenye hotel(budget/luxurious) mpaka, lodges, cottages, guest houses
  charter (over 80% Kilimanjaro ni wenyeji) pia hata wenye migahawa (catering services), wenye traveling agencies/tours cars (logistic/courrier services), horticulturalist, wenye maduka (shop keepers/owners) na wachonga vinyago (masai beads and crafting (souvenir et al)) maana hata wapagazi wako organized kupita maelezo wana association zao (
  Kilimanjaro Porters Society, Tanzania Association of Tour Operators) na tumeona mara nyingi walivyo makini hata kudai haki zao (Untitled Document) Mimi binafsi ningpenda kama kila mbuga au vivutio vya kitalii ziige mfano wa Kilimanjaro kwa wenyeji kujihusisha na biashara ya utalii! Tupigie kura mlima uweze kutangazika huku ndio kuu-brand mlima wenyewe tunakolilia maana tukilala Kenya will do for us halafu tunabaki tukilialia hime Watanzania! Wakenya, Waganda, Waburundi, Warwanda, Waethiopia hata Wazanzibar maana Watalii wakija Kilimanjaro wtakuja kupumzika Zanzibari na vice versa ukiachilia mbali Ethiopia, Kenya (Watalii pia huenda Masai mara na Mombasa) wanawaleta hao Watalii kwa ndege zao!


   
 6. b

  boybsema Senior Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  shida moja hapa kwetu bongo...siasa imetawala sana kuliko utendaji.
  Mafisadi wananufaika na wenye nchi wana taabika!!!
  Kilimanjaro hata ikiingia kwenye maajabu ya dunia hakuna chochote kitakachobadilika..
   
Loading...