rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
Kwako Retired State Man!
nimekuwa nikikufatilia mara nyingi sana lakini kwa wakati wangu binafsi,
ulimaliza muda wako wa kuwaongoza watanzania kwa miaka 10,tulikuaga kwa heshima kabisa na ukakabidhi nchi kwa yule mwenzio,
nachojua maana hasa ya Retired State Man ni mtu aliyeongoza nchi yake vizuri na kuachana kabisa na shughuli za kisiasa baada ya kusataafu,
sababu kubwa inayomfanya huyo Man kuachana na siasa ni demokrasia zaidi,mataifa mengi kama lakwetu yana siasa za vyama vingi,hao Satate Man wanajiondoa kwenye vyama vya siasa ili wapewe heshima na wananchi wao ya kuitwa baba wa taifa.
Mkuu! State Man ni watu wenye life exprience kubwa sana na wanastahili kuitwa father of nation,unahitajika sana kwenye mambo mengi ya ushauri au tuite consultant
kinachonishangaza ni pale unapojisahau na kuendelea kupiga debe kwenye chama lako lile lile na kuwaacha wanachi wa vyama vingine ambao ulikuwa unawaongoza wote bila kujali itikadi ya kisiasa,
kwa vyovyote vile huna vision,kwa hilo siwezi kukuonea huruma,kama hao wenzio wanashindwa kukushauri sisi hatutakaa kimya,
inaonekana una background mbovu sana ya wizi wakati wa uongozi wako,hiyo ndiyo sababu kubwa kabisa inayokufanya uendelee kung'ang'ania hilo chama lako
unakumbuka jangwani mwaka jana kwenye kufunga kampeni za ccm uliwaita wapinzani vikokoto?unakumbuka??
unakumbuka ulivyoumbuka igunga eti RETIDE STATE MAN anapambana na watu wake?
hivi una akili wee mzee?hivi unafikiri unaheshimika kwa watanzania??exprience uliyoipata ikulu iko wapi??kubishana kwenye vyama vya siasa au kutoa ushauri kwenye vyama vya siasa??