Mh Mbowe (MB)afanya mkutano mkubwa jimboni Hai

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Leo Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA,kamanda Freeman Mbowe,amefanya mkutano wa hadhara jimboni Hai,mkutano mkubwa pamoja na kufungua shina la wakereketwa.Wakati wa ufunguzi wa shina hilo wanachama wa ccm akiwepo Ndugu wa Mwenyekiti wa ccm wilaya ndugu Olomi,amejiunga na CHADEMA,mbali na Olomi aliambatana na wanachama 30 wa ccm.
Pamoja na kujiunga na CHADEMA pia wameomba radhi,kwa fujo walizofanya wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana..
Mapambano yanaendelea
 
Utumwa wa fikra ni utuma mbaya sana. Hata kitu cha kawaida kinaonekana cha ajabu. Yaani Mbowe kufanya mkutano jimboni kwake ni news? Au huna cha kufanya? Tunakoelekea huko basi hata akienda haja ndogo tutaambiwa. Ajabu ya ndugu wa kiongozi wa CCM kuingia CDM ni nini?
 
Labda hajawahi kufanya mkutano tangu alipoukwaa ubunge. Si unajua tena huyu jamaa muda mwingi huwa anatumia kusuluhisha ndoa yake. Lakini hata hivyo nampongeza kwa kuwakumbuka waliompa ulaji.
 
utajamba cheche mwaka huu.
 
Ya gadafi yatatimia hivi karibuni CDM na NTC hawanatofauti, unaua huku haujajipanga...huyo mwanachama aliehama chama cha CCM hatapata ubunge hapo hai...
 
Leo Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA,kamanda Freeman Mbowe,amefanya mkutano wa hadhara jimboni Hai,mkutano mkubwa pamoja na kufungua shina la wakereketwa.Wakati wa ufunguzi wa shina hilo wanachama wa ccm akiwepo Ndugu wa Mwenyekiti wa ccm wilaya ndugu Olomi,amejiunga na CHADEMA,mbali na Olomi aliambatana na wanachama 30 wa ccm.
Pamoja na kujiunga na CHADEMA pia wameomba radhi,kwa fujo walizofanya wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana..
Mapambano yanaendelea

Hai kata gan mh diwan?
 
ninachojua waliowengi wenye upeo hawana nafasi ndani ya ccm viva brother mbowe
 
Kazi nzuri sana mh Mbowe na umekitoa mbali sana chama chetu kutoka wabunge wa nne mpaka 48 madiwani 47 mpaka 400 na kitu! Hongera mheshimiwa.
 
Labda hajawahi kufanya mkutano tangu alipoukwaa ubunge. Si unajua tena huyu jamaa muda mwingi huwa anatumia kusuluhisha ndoa yake. Lakini hata hivyo nampongeza kwa kuwakumbuka waliompa ulaji.[/QUOT]kusuluhisha ndoa kwani mbowe ni kikwe te ondoa gamba humu mbowe mkewe ni muelewa sana
 
Labda hajawahi kufanya mkutano tangu alipoukwaa ubunge. Si unajua tena huyu jamaa muda mwingi huwa anatumia kusuluhisha ndoa yake. Lakini hata hivyo nampongeza kwa kuwakumbuka waliompa ulaji.
Kweli Mhindi hadhaminiki kwenye boxing, wenye akili watang'amua.
 
Moto huu uendelee hadi mikoa ya kusini kwa kufungua matawi mengi zaidi hususani vijijini ambako wananchi wanaisubiri CHADEMA kwa hamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom