Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza kuitikisa ngome ya Spika wa Bunge, Anne Makinda, baada ya kufungua matawi ya chama hicho katika mkoa mpya wa Njombe na kuingiza wanachama wapya...
Uwingi viongozi wa juu na safari zao za nje ya nchi ni mzigo kwetu watanzania. Ni hivi majuzi tu waziri mkuu amerejea kutoka Brazili na Marekani, leo hii Makamu wapili rais wa Zanzibar yuko...
Kila nikikaa na kuitafakari nchi yangu Tanzania naishangaa hadi nachoka kushangaa!!!!!
Hii Tanzania yetu,
1. Ni nchi PEKEE DUNIANI yenye AINA MBILI TOFAUTI ZA LESENI ZA MAGARI na ZOTE zinatumika...
Tamko hilo limetolewa na ndugu John Mnyika
Amesema cdm inaitaka serikali kutoa tamko la kutolipa pesa hiyo ndani ya siku 30 zaidi ya hapo yataitishwa maandamano ya nchi nzima!
Sasa nimeamini CCM ni chama kiadilifu tena chenye misingi ileile aliyoiacha muasisi wake Mwl Nyerere, ni chama chenye kuwajali wamanchi wake na ni chama chenye dira safi na chenye kuwatakia...
Kulikuwa na mdahalo ambao uliendeshwa siku kadhaa kuhusu nishati ambapo Tanesco na watu wengine walihudhuria lakini watu wa wizara hawakuhudhuria. Meena aliahidi kuwa yeye ataenda kufuatilia kule...
"....RIPOTI iliyohuishwa ya Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) Tawi la Tanzania, imeonesha kuwa tangu ulipomalizika mgogoro wa kisiasa Visiwani mwaka 2010, juhudi madhubuti...
Je ni sahihi watu kujiandaa kugombea mwaka mmoja tu baada ya kutoka kwenye uchaguzi mkuu?Jimbo la Dar Es Salaam linaongoza kwa kuwa na orodha ndefu ya watu,vijana wanaotaka kuingia...
Hi JF;
Hadi sasa kuna Jumla ya kesi kumi na tatu zilizopelekwa mahakamani zinazo wahusu Wabunge wetu yaani;
CHADEMA wabunge kumi (10)
CCM wabunge wawili (2)
CUF Mbunge mmoja (1)
Je hawa...
PRESIDENT Jakaya Kikwete in talks with the Deputy Secretary General of the United Nations, Dr Asha-Rose Migiro, at the State House in Dar es Salaam on Friday. (Photo by Freddy Maro).
By...
WAMWEKA KITIMOTO MKULO MFUMUKO WA BEI, HALI NGUMU YA UCHUMI
Ramadhan Semtawa
WABUNGE wa Kamati ya Fedha na Uchumi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana, waligoma kuzungumza na Naibu...
Katika nyakati tofauti, Waziri Sita na Lowassa wameongea kwenye vyombo vya Habari, Lowassa akitoa kauli ya kutaka vyombo vya habari viache mara moja kumchafua na Sita nae amekua akiwaongele...
Jopo zima la CDM wapo Tabora kwa kuwaambia ukweli juu ya yaliyotokea Igunga na mstakabali wa kesi yao makamanda iliyopo mahakamani.
Mwanzilishi wa tawi la CHADEMA atoa wazi takwimu za safari za...
Jamani hii mechi kati ya hawa heavy weights ndani ya magamba itaishaje? January anataka kummwamwagia Ngeleja mchanga ndani ya Ubwabwa. Tayari Jairo nje Riz1 naye kando kwa hasira ile mbaya . Hii...
Nime furahishwa sana na style ya uongozi wa January Makamba, mbunge wa CCM akiwakilisha jimbo la Bumburi.
Niliwahi kuona akitoa namba zake (15013) kwa ajili ya wananchi kuwasiliana nae kwa jambo...
Wananchi walio wengi wamekuwa wakiangalia mwenendo wa nchi yetu kwa upande mmoja tu
pasipo kuangalia huyu mungu aliyeiumba Tanzania na watu wake na kuiwekea vivutio vingi madini ,bahari
milima...
Hamisi Kigwangalla ameandika haya yafuatayo katika ukurasa wake wa facebook.. Hebu pitieni na nyie muone wenyewe..
"Kwa hakika dhulma imetamalaki katika nchi hii!
Ukandamizaji umetamalaki...
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
Mboneko Munyaga
20 October 2011
Tanzanians could be a mosaic of more than one hundred and twenty tribes but there is something that sets them apart as a people...