Nchi yangu Tanzania

New2JF

Senior Member
Oct 25, 2011
123
27
Kila nikikaa na kuitafakari nchi yangu Tanzania naishangaa hadi nachoka kushangaa!!!!!

Hii Tanzania yetu,

1. Ni nchi PEKEE DUNIANI yenye AINA MBILI TOFAUTI ZA LESENI ZA MAGARI na ZOTE zinatumika hadi sasa!!!

2. Ni nchi PEKEE DUNIANI yenye AINA MBILI TOFAUTI ZA NOTI (FEDHA) na ZOTE zinatumika hadi sasa!!!

3. Ni nchi PEKEE DUNIANI yenye Rais mwenye PhD (za heshima) zaidi ya nne!!!

mwenye kuongezea list tafadhali..................

Dah!!!
 
Back
Top Bottom