Vituko vya DC huyu.....wote ndivyo walivyo?

Kapo Jr

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
996
280
Takribani miezi minne hapa RUNGWE wananchi wananchi hapa wilayani wanalumbana ongezeko la ankara za maji %125 kwa mwezi,(TUWASA) walipotoa proposal wananchi tulikataa kwani hatutumii dizel au petrol kusukuma maji yametegwa mabomba kwenye chanzo twashangaa DC Msome anavyotutisha wananchi tunavyofanya mikutano kuhusu kesi inavyokwenda anatuma polisi kuwakamata viongozi wa umoja wetu,wananchi hawako tayari kuburuzwa wako mbioni kumburuza kortini wapi tuendako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom