Haya tuseme nchi imechukuliwa na Upinzani!

Untwa

Member
Jul 15, 2011
30
5
[h=6]Tuseme nchi imechukuliwa na chama makini cha upinzani, unadhani katika kipindi cha kwanza cha Rais mteule nchi itakuwa katika hali gani kisiasa na kijamii?[/h]
 
sasa hayo ni ya kumuachia Mungu ndiye atakaye mpa hekima na busara huyo atakayekuwa amepata ridhaa ya wananchi
 
1. Tutaona katiba mpya ikiandikwa
2. maadili ya viongozi yakitekelezwa kwa vitendo.
3.Uchumi wa nchi ukipanda kwa kasi kwa kuwa neno ufisadi litafutika katika misamiati yetu
4. KIlimo kikipewa kipaumbele na kuondokana na tatizo la njaa kila mwaka
5.Elimu kwa wote hata wale wasio na uwezo wa kiuchumi kuipata.
6.Wtanzania kutokufa kwa magonjwa yanayotibika
7.Sayansi na teknolojia kumkomboa mtanzania
8.Soko la ajira kuongezeka kwa kasi sana.
9.Tatizo la umeme kuwa historia
10. Kufufuliwa kwa usafiri wa gari moshi.
11. Mikataba mibovu na ya kinyonyaji kufutwa na waliosaini kuwajibishwa
12.Walioiba mali ya umma kufilisiwa na kufikishwa mahakamani
13........
14.......
15.........
 
bila katiba mpya na tume huru hakuna hakuna ridha ya wananchi bali ya usalama wa taifa (taifa=ccm)
 
[h=6]Tuseme nchi imechukuliwa na chama makini cha upinzani, unadhani katika kipindi cha kwanza cha Rais mteule nchi itakuwa katika hali gani kisiasa na kijamii?[/h]

Kikwete na washikaji zake wote watatupwa rumande kusubiri kesi zao
 
1. Tutaona katiba mpya ikiandikwa
2. maadili ya viongozi yakitekelezwa kwa vitendo.
3.Uchumi wa nchi ukipanda kwa kasi kwa kuwa neno ufisadi litafutika katika misamiati yetu
4. KIlimo kikipewa kipaumbele na kuondokana na tatizo la njaa kila mwaka
5.Elimu kwa wote hata wale wasio na uwezo wa kiuchumi kuipata.
6.Wtanzania kutokufa kwa magonjwa yanayotibika
7.Sayansi na teknolojia kumkomboa mtanzania
8.Soko la ajira kuongezeka kwa kasi sana.
9.Tatizo la umeme kuwa historia
10. Kufufuliwa kwa usafiri wa gari moshi.
11. Mikataba mibovu na ya kinyonyaji kufutwa na waliosaini kuwajibishwa
12.Walioiba mali ya umma kufilisiwa na kufikishwa mahakamani
13........
14.......
15.........
Unamaanisha CUF au?
 
1.matajiri wapya wataibukia
2.Ukabila
3.Udini
4.Mikataba mipya ya kuwafaidisha walio shika nchi
5.Vita ya wenyewe kwa wenyewe
6.Tutakuwa masikini mara mia ya sasa.
 
Ninavyoelewa mimi, mambo yatakuwa yale yale.Umaskini, Ufisadi,Ahadi hewa nk.Kitu kipya kabisa tutakachopata ni PICHA YA RAIS.
 
1. Tutaona katiba mpya ikiandikwa
2. maadili ya viongozi yakitekelezwa kwa vitendo.
3.Uchumi wa nchi ukipanda kwa kasi kwa kuwa neno ufisadi litafutika katika misamiati yetu
4. KIlimo kikipewa kipaumbele na kuondokana na tatizo la njaa kila mwaka
5.Elimu kwa wote hata wale wasio na uwezo wa kiuchumi kuipata.
6.Wtanzania kutokufa kwa magonjwa yanayotibika
7.Sayansi na teknolojia kumkomboa mtanzania
8.Soko la ajira kuongezeka kwa kasi sana.
9.Tatizo la umeme kuwa historia
10. Kufufuliwa kwa usafiri wa gari moshi.
11. Mikataba mibovu na ya kinyonyaji kufutwa na waliosaini kuwajibishwa
12.Walioiba mali ya umma kufilisiwa na kufikishwa mahakamani
13........
14.......
15.........

Hizi ni ndoto za Alinacha Mkuu.... Inakua kama kujifariji fulani hivi....
 
Huyo Osokoni anaongea kama vile yeye ndiye mvua, ndiye anatengeneza dola, utafikiri ndiye trekta. Hii dhana ya ku-support vyama kweli imevamiwa. Wenzetu wa magharibi pamoja na maendeleo yao ya hali ya juu , lakini bado wanaandamana kisa maisha magumu , bado wanachangia elimu na mbaya kabisa bado wanakuja afrika kutugombanisha ili wapate kuziba mianya ya hali mbaya katika nchi zao. Hiyo serikali ya upinzania itakuwa katika sayari ipi?
 
Hapo ndo hua nawaonea huruma my fellow Tanzanians.... Dhana na imani ya kusema kwamba kitakapo kuja chama kipya na utawala mpya basi kila kitu kitakua for the best... Haya mambo hayafanywi in one day yakanyoka... Yanahitaji mda for "Change" Ku-prevail ipasavo... Mfano tu hilo suala la mikataba, huwezi vunja mikataba bila kwanza kupitia uone tatizo lipo wapi... na ukishaona tatizo kwanza kuichora upya na kuandika mipya ambayo ni kwa maslahi ya nchi yaweza chukua forever.....
 
1. Tutaona katiba mpya ikiandikwa
2. maadili ya viongozi yakitekelezwa kwa vitendo.
3.Uchumi wa nchi ukipanda kwa kasi kwa kuwa neno ufisadi litafutika katika misamiati yetu
4. KIlimo kikipewa kipaumbele na kuondokana na tatizo la njaa kila mwaka
5.Elimu kwa wote hata wale wasio na uwezo wa kiuchumi kuipata.
6.Wtanzania kutokufa kwa magonjwa yanayotibika
7.Sayansi na teknolojia kumkomboa mtanzania
8.Soko la ajira kuongezeka kwa kasi sana.
9.Tatizo la umeme kuwa historia
10. Kufufuliwa kwa usafiri wa gari moshi.
11. Mikataba mibovu na ya kinyonyaji kufutwa na waliosaini kuwajibishwa
12.Walioiba mali ya umma kufilisiwa na kufikishwa mahakamani
13........
14.......
15.........

Watu wengine bwana , inawezekana darasani ulifeli, na nashangaa sijui humu jamii uneingiaje. Wewe umeulizwa kisiasa na kijamii umerukia ushabiki na kulipaji visasi , rudi darasani wewe ukanolewe vizuri ubongo bado haujakaa sawa
 
duh Picha ya prezida.

Jamaa kaniacha hoi tena yaani picha ya Rais, Amejitahidi sana kuona mbali manake nimeona jamaa anaitwa OSOKONI kaongea pumba kweli utafikiri
na nafikiri ile mada kaianzisha yeye ili baadaye aingie kwa jina la OSOKONI akaandike anayoyafikiria. Unajua haya mambo ndo baadaye yanapelekea kiongozi anaadhibiwa vikali na wananchi wake. Hivi haya matumaini ya wapinzani kwa wananchi yasipotekelezeka nini hatima ya kiongozi kama huyo?
 
Hapo ndo hua nawaonea huruma my fellow Tanzanians.... Dhana na imani ya kusema kwamba kitakapo kuja chama kipya na utawala mpya basi kila kitu kitakua for the best... Haya mambo hayafanywi in one day yakanyoka... Yanahitaji mda for "Change" Ku-prevail ipasavo... Mfano tu hilo suala la mikataba, huwezi vunja mikataba bila kwanza kupitia uone tatizo lipo wapi... na ukishaona tatizo kwanza kuichora upya na kuandika mipya ambayo ni kwa maslahi ya nchi yaweza chukua forever.....

Kwa nini ishindikane kwa Tanzania? Mbona wenzetu Zambia wameweza ndani ya muda mfupi? Tuache mawazo mgando
 
Back
Top Bottom