We must freeze all CCM assets because it belongs to all Tanzanians | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

We must freeze all CCM assets because it belongs to all Tanzanians

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Papa D, Oct 25, 2011.

 1. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  All ccm assets earned before 1992 must be returned to the Government via NHC, BMT and/or local Governments. It has to be this way because the assets were erected from Tanzanian Taxpayers' Money including non ccm members.
  Siku mali za ccm zitakapotaifishwa au akaja kiongozi atakayekata mirija ya wizi ndipo itakuwa mwisho wa ccm. Many ccm members and funs are supporting chama cha mapinduzi not because CCM have the best plan for Tanzanians. They are there because they earn a living from mismanaged resources. To be more honest, ccm will never be defeated if we don't take our assets from them!!
   
 2. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Aksante kwa hii observation, na ninaunga mkono hoja. Tatizo ni kwamba Watanzania wengi (wafuasi wa vyama vya siasa na wasio wafuasi) hawajui kiwango cha huu unyonyaji. Labda kama wanajamvi wataamua kutoa taarifa za assets hizo, thamani na faida zinazozalishwa.Hii itasaidia kuweka kumbukumbu sawa.

  But hebu turudi nyuma kidogo! Hata Tume ya Nyalali si ilipendekeza haya mambo lakin serikali haikutaka kutekeleza?

  Nadhani huu ni wakati muafaka wakudai haki zetu, kwa kutumia njia nyingine, haswa haswa Mahakama
   
 3. ubun2

  ubun2 Senior Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  WHEN a minister was quoted in local media dismissing a million dollars in his offshore account as peanuts and NOTHING was done to investigate his offshore account or his activities while he was the AG. Infact, the Minister of Good Governance gave him a "clean chit'. When the WILL to prosecute/indict an individual and make him accountable for his actions does not exist, then GO FIGURE!
  NOTHING WILL BE DONE when the shilling nosedives. Think about HOW and WHY Tanzania shilling is in the position that it is today, its not ALL because of global financial problems. Foreign Currency at the BoT is depleted, WHY???? HOW did that happen??? WHERE DID ALL THE DOLLARS DISAPPEAR TO???

  The shilling nosediving is going to Be BRUTAL for Tanzanians! But for the elite it will be fine, they will be able to buy more for less with their DOLLARS!
  If Tanzanians really want to make an effort and hold their leaders accountable for their illicit actions, a good start is by calling for exactly what the writer of this thread is asking for, various leaders/ministers accounts to be frozen, & they can start by requesting financial institutions, organizations and embassies.
   
 4. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Yale yale ya Pro - CHADEMA kupenda vitu vya bure bure badala yakutafuta vya kwao. Matokeo yake mpaka majumbani mwao wanaomba wasaidizi sasa !
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mawazo mgando.
   
 6. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Teh teh, napita tu.
   
 7. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  BASI Toa mawazo yako myeyuko ili tuachane na haya mawazo mgando!!!
   
 8. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Inawezekana wewe umezaliwa miaka ya mwisho ya 80s au ile ya 90s ndiyo sababu huelewi ninachokizungumzia!!! nchi hii imepitia michango na kodi nyingi sana ambazo kwa andishi lako hili ni dhahri huzifahamu na wala hujawahi kuzisikia!!! theluthi mbili ya kodi hizo ziliendesha TANU/ccm siku ukifahamu undani wa hoja yangu naamini utakuwa wa kwanza kuingia mtaani kudai hayo niliyopendekeza!!! KWA TAARIFA YAKO MIMI SI CHADEMA NA WALA SIWAJUI VIONGOZI WA CHADEMA!!!
   
 9. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Andika kiswahili tu mkuu,angalia heading yako na kiingereza mfu.
   
 10. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,381
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Nakuunga mkono sema tu umechoma kiingereza kwenye title. Nafikiri ingesomeka ifuatavyo " We will freeze all ccm assets because they belong to all Tanzanians"
   
 11. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Maqli hizo ziliptikana kwa kuchangisha watanzania kwa nguvu na bila ridhaa yao zinatakiwa zirudishwa kwa serikali za wananchi (serikali za mitaa) NAUNGA MKONO HOJA 100/100
   
 12. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Tunajua hivyo ni kwasababu bado wako Madarakani; Wakiondoka Leo; Kesho Lumumba inachukuliwa ndipo chuo kikuu kilipoanza kwahiyo sio Mali ya CCM

  Halafu Viwanja Vya Mpira Mwanza tunataka TP Lindanda
   
 13. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  I support, yes all CCM assets earned before 1992 belong to all Tanzanians.
   
 14. F

  FUSO JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,856
  Likes Received: 2,333
  Trophy Points: 280
  tulijenga uwanja wa michezo Tabora kwa nguvu zetu wananchi, aka Ally Hassan Mwinyi, tukachangishwa kuku, ngombe, mbuzi na wengine kusombwa sombwa mjini kwenda kuweka nguvu kazi ya kufyatua matofali hadi uwanja ukaisha. Eti uwanja huo ni mali ya CCM - huu si WIZI jamani.....
   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Uko ndotoni mkuu.
   
 16. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Na pia tumedhulumiwa sana.
   
 17. M

  Mwadada Senior Member

  #17
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Wazo zuri. Tatizo baadhi ya wadau wakiona mtu anatetea maslai ya wananchi na taifa wao hudhani ni cdm, na hii inatokana na ukweli kwamba cdm wamejitambulisha kuwa madhubuti ktk kutetea maslai ya taifa zaidi ukilinganisha na vyama vingine. Hoja yako iko wazi na imeeleweka,hivyo kwa wale wote wenye kutaka taifa hili lisonge mbele kwa haki ni kweli lazima waunge mkono bila kujali itikadi ya siasa. NAUNGA MKONO HOJA.
   
 18. m

  matawi JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Naunga mkono 100% juzi nilikuwa na kazi nikahitaji kukodisha uwanja wa sheikh amri abeid karume nikaambiwa muone katibu wa ccm mkoa. Nilipoonana naye nikaambiwa kukodisha uwanja ni sh milioni moja. Hebu fikiria ccm ilpata wapi kujenga uwanja huo
   
 19. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nakuunga mkono mkuu. CCM siku hizi kimekuwa kichaka cha wezi.
   
 20. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  what is wrong with the heading? tell me where do you want elaboration?
   
Loading...