Utata wa maadhimisho ya uhuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utata wa maadhimisho ya uhuru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicas Mtei, Oct 26, 2011.

 1. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Serikali inadai kuwa tarehe 9 Dec kutakuwa na maadhimisho ya 50 ya uhuru wa Tanzania,
  Maswal yenye utata ni haya:
  1:Je Tanzania ilitawaliwa na nani before huo uhuru?
  2:Je Tanzania ilipata lini uhuru?
  3:Ni nani alileta uhuru wa Tanzania?
  Katika pekuapekua zangu sijaona sehemu ambayo imeandikwa kuwa Tanzania ilipata uhuru badala yake nimeona kuwa ni Tanganyika ndo ilipata uhuru..
  Wadau tujuzane ni lipi jina stahili katika kusherekea huo uhuru wa miaka 50.
  Nawasilisha.
   
 2. MANI

  MANI Platinum Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Jina Tanganyika ni mwiko kutamkwa na walio serekalini !
   
 3. msani

  msani JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  tanzania ilibarikiwa mwaka 1964 na kuzika tanganyika ila bado inashangaza kuiadhimisha yaa hapa kuna maswali mengi na ukitaka kuondolewa serikalini jaribu kuichambua Tanganyika na tanzania kuelekea maadhimisho ya uhuru wao
   
 4. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Wakwere kukana historia ni rahisi kabisa, noma ni pale anapowaingiza mkenge watanganyika wengine nao wanakubali. Ni miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika.
   
 5. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Kama hatupendi kutumia jina Tanganyika basi tutumie Tanzania bara tusije tukapotosha historia.
   
 6. T

  Tetere Enjiwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 217
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nchi hii inatafunwa na dhambi ya unafiki wa viongozi wetu na hasa wanasiasa.
   
 7. m

  mharakati JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  tutegeneza tshirt za bendera ya tanganyika ziwe zinavaliwa mitaani
   
 8. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ahaaa! ilizikwa Tanganyika yetu,zanzibar ikaachwa,ndo mchezo wenu eeeeeeeeeeeeee!
   
 9. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  weee mhaini nini?kwanini unaitamka Tanganyika leo
   
 10. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,381
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Mimi napendekeza wanaoikumbuka na kuipenda Tanganyika siku hiyo tarehe 9 December sisi tukutane Jangwani uwaache wanaofikiri kuwa Tanzania ilipata uhuru tarehe 9 Dec waende uwanja wa Uhuru. Tanzania ilianzia April 26 1964. Tanganyika ilipata Uhuru Dec 9, 1961
   
 11. tempo_user1

  tempo_user1 Senior Member

  #11
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanganyika ilikufa au ilifunga ndoa na Zanzibar?
  kama Tanganyika ilikufa mbona Zanzibar bado ipo?
   
 12. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Tanganyika = Tanzania Bara
  Zanzibar = Tanzania Visiwani

  Uhuru wa Tanzania Bara! stupid!!
   
 13. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #13
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  tena wanasema ukilitaja unahatarisha usalama wa nchi yetu inayotambulika duniani kama kisiwa cha amani.
   
 14. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ni ujinga usio na kifani kusherehekea kitu kisichokuwepo. Mie ninajua Tanzania itafikisha miaka 50 ifikapo 2014 na sio vinginevyo kwa sasa ninajitahidi kujiandaa na Jubilei ya Fedha ya Tanganyika huku nikiwa ninakabiliwa bado na adui ujinga, umasikini na maradhi.
   
 15. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  sasa wajameni tatizo lipo kwa nani? Kwa serikali ambayo inaandaa maadhmisho au lipo kwa wananch wasiojua historia yao?
   
 16. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Na uzembe wetu pia
   
Loading...