People's power ya Dr Slaa kuvunja amani Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

People's power ya Dr Slaa kuvunja amani Tanzania?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kachanchabuseta, Sep 24, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]
  KWANINI WAFUASI WA CHADEMA WANKUNJA NGUMI?
  hII NI KUASHILIA WANATAKA KWENDA VITANI??
   
 2. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mbona kwenye fedha za coin za zamani kama shilingi zilikuwa zinapicha ya ngumi kwa hio taifa lilikuwa linaenda au kujiandaa na vita?
   
 3. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kuwang'oa mafisadi unafikiri inahitaji watu lelemama
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Imekuvutia eeeh?!!

  Hutaki Unaacha!

  Kama kawa Utajiju....
  Mix with yours!!!!
   
 5. p

  pierre JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndiyo nguvu yao hawana mabomu wala mtutu ila wana kura yao mkononi hivyo lazima washikilie vizuri wasiporwe na mtu.
   
 6. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkumbushe na zile zama za kidumu chama cha majambazi walikuwa wanafanyaje ?
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135

  [​IMG]


  SISI TUNATAKA AMANi
   
 9. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  kwa nn kwenye BENDELA YA CCM KUNA NYUNDO...?

  au ni chama cha wachimba madini wadogo wadogo..?
   
 10. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135

  Tanzania inaitaji viongozi wenye BUSARA SIO WANAOKUNJA NGUMI
   
 11. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  JEIKEIWAUKWELI
  sisi tunakujua kwa nini umejiunga hapa lala salama.
  Ila usisahau kuwaambia waliokutuma kwamba watanzania siyo mabwege tena


  Mliposema 2010 USHINDI NI LAZIMA mlifikiria suala la amani hata kidogo?
  tonge na mwiba wa samaki katikati ya koo. maji hayapiti. jaza mwenyewe
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 13. Mgeninani

  Mgeninani Senior Member

  #13
  Sep 24, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwenye bendera ya chichiem wangeeka noti ya alfu kumi! maaana naona humo wamejaa wafanyabiashara hakuna mfanyakazi wala mkulima!
   
 14. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  [​IMG]


  Kwanini asiongee taratibu? NGUMI YA NINI???
   
 15. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  taratibu mchungaji.
  Kinana akiingia humu atasema tunawatukana kwenye mitandao lols
   
 16. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Tanzania inahitaji viongozi wenye maadili ya kufata katiba na wasio wasahaulifu wa ahadi na viapo vyao, siyo lelemama wenye kuendekeza uswahiba na kueneza himaya kama za kikabaila na kisultani!!
   
 17. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  ngumi ishara ya utayari wa mapambano ya kifikra dhidi ya uhafidhina wenu ccm
   
 18. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kukunja NGUMI NI HURUKA YA KUTAKA MADARAKA KWA KUPIGANA EEEH??
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 20. m

  mozze Senior Member

  #20
  Sep 24, 2010
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 185
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe unaongelea Amani gani? Yani watu wakidai haki zao ndio unasema kupotea amani? Haijali hata amani ikipotea, kikubwa tunataka ukombozi. Sasa ni wakati wa kupigania uhuru wa nchi, na sio kuleta porojo za Vita.
  NOTE: Kama chadema wangetaka kuingia ikulu kwa kumwaga damu wangekuwa wameingia msituni miaka mingi tu, lakini kwa sasa atakayeanzisha ugomvi ni yule aliye ndani pale atakapotakiwa kutoka awapishe watu makini.
  Acha kutisha watu! People's Power Ina maana NZuri tu ya kuwamilikisha wananchi madaraka!
   
Loading...