Wanasemaje....??

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Naomba walio karibu na wenye taharifa za Dr.Mwakyembe watujuze baada ya kufika India na kupatiwa matibabu tunaambiwa anaendelea vizuri hapa jamvini,shida yangu leo ni..

Je,baada ya kuwa adimitted na kufanyiwa diagnosis madaktari wa India wanasema Dr.anaumwa nini na nini chanzo?

Naomba tujulishwe wanajamvi.
 
Samwel Sitta ameshasema kinachoelekea ni matokeo ya uchunguzi aliofanyiwa huko India.
 
Naomba walio karibu na wenye taharifa za Dr.Mwakyembe watujuze baada ya kufika India na kupatiwa matibabu tunaambiwa anaendelea vizuri hapa jamvini,shida yangu leo ni..

Je,baada ya kuwa adimitted na kufanyiwa diagnosis madaktari wa India wanasema Dr.anaumwa nini na nini chanzo?

Naomba tujulishwe wanajamvi.

mwanamagamba sita karudi toke huko na anadai hali yake ni mbaya sana........................na anahisia kali kuwa kalishwa sumu.....................lakini hatuelezi ni wapi kalishwa hiyo sumu..........................labda kwenye state banquet?

lakini nielewavyo.........mwakyembe hakuanza kuumwa leo.........................huko nyuma alikwisha kulazwa MOI............na hakuna ambaye yupo tayari kuzungumzia anaumwa nini........................lakini ukiona wajuaji hawajivunii kumwaga mtama hadharani.....ujue wanalao jambo..............something fishy and shameful is besetting our political class...........................
 
Back
Top Bottom