Mbowe aibomoa CCM hai, wanafamila wa mkiti CCM wilaya, wahamia CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe aibomoa CCM hai, wanafamila wa mkiti CCM wilaya, wahamia CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mikael P Aweda, Oct 26, 2011.

 1. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkiti wa Taifa wa Chadema, Mbunge wa Hai, na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, ameibomoa ccm kwa kufungua shina la wakereketwa wa Chadema wilayani hai karibu na nyumbani kwa mkiti wa ccm wilaya ya Hai Amini Uronu. Mh. Mbowe pia alipokea wanachama wapya 30 kutoka chama cha mapinduzi (CCM). Miongoni mwa waliorudisha kadi hizo ni wanafamilia wa Mkiti huyo wa ccm ( Amini Uronu) ambao ni wadogo zake - nao ni Zawadi Uronu na Haruna Uronu. Vijana hao, wengi wao ndo waliokuwa tegemeo na wahamasishaji wakuu wa ccm wilayani hapo.
  My take,
  Wadogo zake na mkiti wa ccm wilaya wanaiasi ccm, nani ataitetea ccm?
  Kama walioko ndani wana migogoro mikubwa, I can not wait 2015.
  Thanks.
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nadhani Nanyato Ephata alielezea kilichojiri siku ya mkutano lakini kuna baadhi ya watu waliponda eti siyo habari. Mkuu nashukuru kwa taarifa.
   
 3. K

  Kiti JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Twanga kote kote CHADEMA. Tuko pamoja
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Safi sana kamanda mbowe tk pmj
   
 5. E

  EMMANUEL NSAMBI JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapo ndio mnapowashika magamba pabaya.Lakini kamanda uwe makini na hao mamluki kutoka
  magamba wasije wakawa mzigo kwa wapambanaji.
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  niliona kiofisi cha CDM pale matembele ya kwanza ON THE WAY TO kitunda nikaambiwa hiyo ni kazi ya AWEDA
  hongera
   
 7. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  Waje Mtwara sio kila uchao kaskazini tu
   
 8. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,268
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  We Gettin There, Kanyaga Twende
   
 9. V

  Vitalino mlelwa Member

  #9
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana mpambanaji i am proud of you magamba lazma wasalimu amri na kukamatana uchawi 2015 kiulaini.
   
 10. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ukweli upo wazi magamba wanapumulia mashine pamoja na kujifariji wakweli wanakiri CDM ni noma
   
 11. U

  UMMATI Member

  #11
  Oct 26, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CDM njooni NACHINGWEA. Mukiweka nguvu 2015 munachukua jimbo. Chikawe hatumtaki wananchi tumemchoka.
   
 12. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160

  imewezekana Igunga, we unafikiri itashndkana Mtwara?
   
 13. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni onyo tu!
   
 14. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hai hamna majingajinga kule ccm imesha kufa
   
 15. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Shule inahitajika zaidi na zaidi ili kuiwahisha saa ya ukombozi
   
 16. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160


  Hapa ni mbunge anatembelea jimbo lake na kuimarisha chama pa1 na kujiongezea wapigakura.

  Acheni upuuzi wenu wa kutazama mambo kibaguzi na kung'ang'ania propaganda za magamba kwenye bongo zenu!!?

  Cdm wamefanya maandamano na operation sangara mikoa ya kanda ya ziwa hadi Tabora, nyanda za juu kusini hadi Ruvuma. Hivyo havijawahi kufanyika kwenye kanda nyingine ikiwemo kaskazini lakini bado mnaeneza propaganda za kila kitu kaskazini. Funguka akili ndungu, usikubaki kusafirishwa kwenye meli ya magamba!
   
 17. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chadema njooni jimbo la bahi pia
   
 18. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #18
  Oct 26, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Tukubaliane jambo mmoja, viongozi wa kitaifa hawawezi kuwa kila mahali hata wakitaka. Viongozi wa mkoa wa Dodoma na Jimbo la Bahi ndo wanatakiwa wafanye hayo.
   
 19. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Yaelekea hujui hata maana ya familia. mtu mzima ovyo.
   
 20. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Heko CDM kwa kazi nzuri! Kaza boot coz ndo kumekucha, tunahitaji 4wheels ya kuaminika ili kuongeza kasi zaidi kwenye tope la CCM, imehaibu miundo mbinu kwenye akili za watz!
   
Loading...