Nani atakuwa mgeni rasmi tarehe 9/12/2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani atakuwa mgeni rasmi tarehe 9/12/2011

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by baina, Oct 26, 2011.

 1. baina

  baina JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sherehe zote zinazohusu Zenji Rais wa zenji ndo anakuwa mgeni rasmi kwasababu ndiye mwenye nchi ile, sina shida na hilo. Shida yangu ni kwamba uhuru tutakao sherekea si wa JMT bali ni wa bara tu. Kwakuwa upande wa bara tu hauna rais wake kama ambavyo upande wa zenji una rais wake tatizo langu ni je hivi huu upande ambao hauna rais na sherehe inahusu upande huu mambo yatakuwaje kuhusu mgeni rasmi? Na je huyu bwana JK anayeongoza pande zote mbili ana haki ya kuwa mgeni rasmi au tumukaribishe kama wageni wengine kwenye sherehe inayohusu upande wa bara? Nawasilisha.
   
 2. M'bongo

  M'bongo Senior Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  JK ndiye rais wa JMT na Tanganyika, kwani ndiye anayewateua
  mawaziri wa Tanganyika (wasio wa muungano) na ndiye rais
  wao.
   
 3. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Tutafanya kimazoea kama alivyoeleza mdau...
  Tukiambiwa tuupitie muungano tunaanza kulia lia na kumuwekea maneno Nyerere
   
 4. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,493
  Likes Received: 2,738
  Trophy Points: 280
  JK siyo rais wa Tanmganyika bali wa Tanzania. Tanganyika ilishakufa siku nyingi labda kama imefufuka kabla ya miaka 50 ya Uhuru. JK anateua mawaziri wa Tanzania na wasio wa muungano. Hiyo haimaanishi Tanganyika. Kwa mtizamo wako unataka kusema kuwa Rais ana kofia mbili na Wazanzibar wanachagua wanashiriki kutuchagulia Rais siyo??

  Hilo ndiyo kasheshe la muungano ambalo watu hawataki litatuliwe!!
   
 5. baina

  baina JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wa sheria kama mmo humu tafadhali saidia kujadili jambo hili, wahi mkuje.
   
 6. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 14,998
  Likes Received: 3,179
  Trophy Points: 280
  Sioni logic yeyote kwe huu uzi.

  Mgeni rasmi anaweza akawa yeyote, bila kujali cheo wala umri.

  Rais wa Tandale pia anaweza akawa mgeni rasmi.
   
Loading...