Nini maana ya UPINZANI? (Ugaidi, Ufisadi, Ukorofi au hautakiwi tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini maana ya UPINZANI? (Ugaidi, Ufisadi, Ukorofi au hautakiwi tu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dguyana, Oct 26, 2011.

 1. d

  dguyana JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Jamani nisaidieni kupata maana kamili ya neno UPINZANI.

  Kwa hapa TZ,Mimi sio CCM , nipo upande wa upinzani na napenda CDM. Sijapata kusikia vizuri kwa undani zaidi sera za CDM lakini kwa hali inavyoonyesha naamini ni chama chenye kuleta upinzani kuliko janga letu (CCM).[/FONT]

  [FONT=&quot] [/FONT]

  [FONT=&quot]Watu wengine wanadhani upinzani ni kuwa mkorofi, muhuni, mpingaji na mambo yote machafu. Kwa uelewa wangu nkwa harakaharaka tu upinzania ni kama vile kugombea namba mstarini au darasani kule shuleni. Na ukiwa mpinzani bado unaweza ukawa mwema tu kwa jamii.[/FONT]

  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Pia tukae na kujua kuwa propaganda zipo kila sehemu. Kwanini usijaribu nafsi yako kwa kitu chenye manufaa kwako?[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Kwanini usijaribu leo kuuupa nafasi upinzani ilhali sababu zote za kuwa mpinzani zipo kutokana na utawala tunaouona kwa sasa wa CCM. Au unapenda (Utawala mbovu, ufisadi,ungeleja, umkulona zarau maofisi ya serikali hasa TRA, migomo yote hii wakati RASILIMALI tunazooo??[/FONT]

  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Au mwenzangu unajua UPINZANI ni nini?[/FONT]
   
 2. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hofu ya Watawala hasa wale wenye umri mkubwa wasiojua matumizi ya komputa leo hii,walilelewa na kuamini kuwa ujio wa Chama chochote ni mwanzo wa kuingiliwa na maadui wa nchi.Hivyo wamekalili sana kuwa Nchi itasimamiwa na watu walio lelewa na chama cha mapinduzi na pindi hapo baadae kukabidhi Nchi kwa walio walea wao ndani ya chama cha CCM.

  Wangfelijua matumizi ya tekinolojia wanejua matayarisho kuwa Nchi au Upinzani sio ugomvi, chuki au vita, bali kutumioa nafsi hii kuelimisha umma kuwa upinzani ni changamoto ya watawala kupeana kasi ya kuleta maendeleo kwa kofia ya vyama tofauti tofauti.

  Tekinolojia inamjenga mwenye ufahamu kuwa makini na ujio wa matukio kwa mujibu ya nyakati,Gadhafi kwa kutokua matumizi ya tekinolojia akiwa mafichoni katumia simu kuwasiliana, simu hiyo imeleta Kifo chake.
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  upinzani ni kuwa chama mbadala,sasa hivi cdm,cuf nccr ni wapinzani lakini baada ya 2015 wapinzani ni ccmcuf,nccr nk.
  hapo ccm tumeiweka ila kuna hatari ya kusambaratika baada ya hapo.
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Njoo na hoja siyo matusi. humu ni watu wazima lengo ni tanzania bora na si bora tanzania. Naomba uniambie ww huipendi neno CCM au hupendi wanachama wa CCM nasema hivyo kwa sababu naona kama watu hawaelewi. Dr SLAA, Mpendazoe, Shibuda, na wengine wengi unaweza kuwataja na wewe , wote hawa walitoka CCM baada ya kukataliwa kuganga njaa, mbaya kabisa siku ya mwisho kabisa ya uteuzi, so naamini hao bado ni CCM sasa.
   
 5. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  upinzani ni kuwa chama mbadal
   
 6. d

  dguyana JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Da man hapo kwenye maelezo yangu mbona sijatukana mkubwa?

  Kwa mtazamo wangu wewe unataka kuninyima uhuru wangu wa kusema nini nataka kusema. Mi ninavyodhani kwa utawala wa serikali ya sasa ambayo ni CCM sio mzuri. Hivyo sivutiwi na CCM na hilo ndio lipo moyoni mwangu. Pia sijazingumzi mtu humu labda iwe sla au shibuda no, nachozungumzia mimi ni harakati zinazofanywa na CDM zinanishawishi hata kama watamchagua mtu mwengine kwenye mapambano mbali na hawa. Nadhani uelewa wako ni mdogo japo ni mtu mzima. Na pia Haijalishi mtu anakatokea wapi man. Tunachotaka ni harakati kuelekea Mapinduzi ya mfumo tulio nao sasa.

  Mia.
   
Loading...