miaka 50 ya uhuru na shule za nyasi nchini

boybsema

Senior Member
Oct 28, 2010
124
14
Kwa kusema ukweli hii ni aibu kubwa nchi kutimiza miaka hamsini ya uhuru huku wananchi wake wanasomea kwenye madarasa ya nyasi.mbunge wa kwela nae kathubutu kumkoromea diwani na kusema miaka 5 unakaa na shule ya namna hii,tokea nimezaliwa sijawahi kuona shule ya namna hii tokea nimezaliwa.ndo tuseme "tumethubutu,tumeweza na tunasonga mbele?"wadau...kazi kwetu!nawasilisha.
 
dah....nimeona hiyo taarifa TBC....mi mwenyewe nimechoka.....
 
Kwa kusema ukweli hii ni aibu kubwa nchi kutimiza miaka hamsini wananchi wake wanasomea kwenye madarasa ya nyasi.mbunge wa kwela nae kamkoromea diwani na kusema tokea nimezaliwa sijawahi kuona shule ya namna hii tokea nimezaliwa.ndo tuseme "tumethubutu,tumeweza na tunasonga mbele?"wadau...kazi kwetu!nawasilisha.

kuna shule nyengine huko Tabora imeoneshwa ITV, wao hawasomi. wanachofanya ni kurusha mapepo kwa wanafunzi tu.

aibu kweli.

miaka 50 badala tutumie muda wetu kufikiria namna ya kuwakomboa watoto wetu kiilimu, sisi tunaumiza vichwa kufuga majini na mapepo ya kuwatupia wakiwa darasani.

kweli tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele.
 
hivi jk angechukua pesa za masurufu ya safari yake moja tuu ya njee akapeleka kujenga madarasa huko kwela ingekuaje?
 
kuna shule nyengine huko Tabora imeoneshwa ITV, wao hawasomi. wanachofanya ni kurusha mapepo kwa wanafunzi tu.

aibu kweli.

miaka 50 badala tutumie muda wetu kufikiria namna ya kuwakomboa watoto wetu kiilimu, sisi tunaumiza vichwa kufuga majini na mapepo ya kuwatupia wakiwa darasani.

kweli tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele.

mkuu,enzi zetu,tuliambiwa speak english,hao watoto wa sumbawanga,wanaambiwa,ongea kiswahili,inaonesha ni jinsi gani tumethubutu, tumew
 
Back
Top Bottom