Tumejaribu, Tumeweza Tunasonga Mbele. Kikwete are you serious? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumejaribu, Tumeweza Tunasonga Mbele. Kikwete are you serious?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bujibuji, Oct 28, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Leo dola imepanda hadi sh. 2007/=.
  Sukari Moshi imefika sh. 3500/=
  gharama za maisha zimepanda, kweli JK ameweza na anasonga mbele.
   
 2. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Anapiga udalali tu huko kwa wadhungu!
   
 3. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Hivi hawa kina Malaria Sugu, FF na magamba wengine hamuoni jahazi linazama?
  Mtashikilia propaganda hadi lini?
  Tutaandamana hadi M'kwere atoke madarakani.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  sarafu yetu ni wapi inaelekea? Je ni kwenye Zimdollar na Faranga ya Zaire?
  Mkulo na Ndulu wanafanya nini kuokoa jahazi?
   
 5. N

  Ndole JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  aaahhh mtalii kama kawa kaenda kutalii Australia.... mama yangu weeeee
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Hivi jamaa akienda ziara anaondoka na hazina yetu yote ya dola? Mbona dola imepanda sana bei?
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  kuna wanafunzi wanasomea kwenyd madarasa ya nyasi. kuna watanzania hawawezi kuwasiliana na wenzao kwa kiswahili. tumethubutu tumeweza nini kama siyo pumba hizi?
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  inatia uchungu kwa kweli
   
 9. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kweli tumeweza kuwa wapumbavu...!
   
Loading...