Msemakweli yuko wapi? Kanyamazishwa?

kajembe

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
982
429
Hivi wana jamvi yule jamaa Kainerugaba Msemakweli yuko wapi? Baada ya kutoa UFISADI WA KAGODA kapotea moja kwa moja! nina wasiwasi na mambo matatu.

  1. Kununuliwa na Mafisadi wa Kagoda
  2. Kujiunga nao ili apte nafasi serikalini
  3. kuogopa vitisho vya mafisadi alio wataja
Mwanzoni nilimuona kama mtu courageous lakini sasa imani yangu inashuka kwake ijapokua simjui!
 
Huyu ni mpuuzi kama wapuuzi wengine ndani ya Tanganyika..alikuwa ana njaa ya kula na akawa na hamu ya kuongea na meadia na sasa hamu imekwisha
 
Hivi wana jamvi yule jamaa Kainerugaba Msemakweli yuko wapi? Baada ya kutoa UFISADI WA KAGODA kapotea moja kwa moja! nina wasiwasi na mambo matatu.

  1. Kununuliwa na Mafisadi wa Kagoda
  2. Kujiunga nao ili apte nafasi serikalini
  3. kuogopa vitisho vya mafisadi alio wataja
Mwanzoni nilimuona kama mtu courageous lakini sasa imani yangu inashuka kwake ijapokua simjui!

huyu hana lolote alikuwa anaganga njaa tu! Hana tofauti yoyote na waganga njaa wengine kama akina Saidi Kubenea. Ameshaingizwa kwenye pay roll anashida gani bwana! Mtajiju. Mh! Watanzania ..... Kazi ipo...
 
Hivi wana jamvi yule jamaa Kainerugaba Msemakweli yuko wapi? Baada ya kutoa UFISADI WA KAGODA kapotea moja kwa moja! nina wasiwasi na mambo matatu.
  1. Kununuliwa na Mafisadi wa Kagoda
  2. Kujiunga nao ili apte nafasi serikalini
  3. kuogopa vitisho vya mafisadi alio wataja
Mwanzoni nilimuona kama mtu courageous lakini sasa imani yangu inashuka kwake ijapokua simjui!
Huyu jamaaa alikuwa alikuwa anajiongozea umaarufu usiokuwa wa msingi, kama unakumbumbu vizuri utakumbuka wakati ule alipoanza kukosoa baadhi ya wasomi wa Tanzania na kasema kuwa wanamiliki vyeti feki ila hakuja kuonyesha hata mwisha ya utafiti wake, kwa hiyo hakuanzia hapo bali toka alipoikosoa TCU, So kwa kifupi ni mtu waMajungu!!!
 
Hivi wana jamvi yule jamaa Kainerugaba Msemakweli yuko wapi? Baada ya kutoa UFISADI WA KAGODA kapotea moja kwa moja! nina wasiwasi na mambo matatu.

  1. Kununuliwa na Mafisadi wa Kagoda
  2. Kujiunga nao ili apte nafasi serikalini
  3. kuogopa vitisho vya mafisadi alio wataja
Mwanzoni nilimuona kama mtu courageous lakini sasa imani yangu inashuka kwake ijapokua simjui!

Uchaguzi wa Igunga umeisha naye kaisha!! Mkuu siasa hazina cha Msemakweli wala nini!!
 
juzi nimemuona hapa mkwepu, anaonekana mambo yake si mabaya, mwaka juzi alikuwa anatufundisha sheria pale biafra kwa sasa kaacha , na anaonekana ana kipato kikubwa, sio kama alivyokuwa zamani, mjini hapa
 
Atakuwa katulizwa.
 
alikosea alipojiingiza kutumiwa na mtu mbinafsi kama Mengi, bora angebaki na agenda yake ile ile ya vyeti feki maana ilikua original na ina mashiko. Cha kujifunza kwetu sisi wote na vizazi vyetu ni kimoja, kutumiwa kunaua haya majitu hayana utu yatakutumia na kukutupa kama kondom wasitake hata kugeuka kukuona, hata kama alipewa cash kwa kusema yale itakua imekwisha. kwanza facts zake zilichekesha eti hela za kagoda hazikumuingiza JK madarakani, yote hiyo ni strategy ya mengi ya kujikomba kwa JK. Hatukuhitaji kusikia hili maana tunalijua wazi, cha kujifunza tu aangalie kama ni condom abaki zile za kununuliwa asije kuwa kondom zile za kupewa bure hospitali kama Muhingo, Balile na Manyerere. Hebu fikiria inakuaje Muhingo aliyejitia yeye head wa kitengo cha habari cha the winning president aishie kwenda kuajiriwa na fisadi Manji na huko nasikia keshafukuzwa kazi, ukisikia pwaaa......., kapita lakini kakuacha hoi, haya vituko vingine vya hao jamaa waliotamba kuacha kazi kumbe ni notisi, bado wako wanaramba mishahara ya kulipwa kwa mafungu ma Bashe, eti wame rejista kampuni inaitwa Jamhuri na sio ya lowasa, crap, wameshindwa kuwika kwenye kazi ya mshahara wataweza ya kujiajiri? hawana status no integrity nani atawasoma, watakula masaburi yao, hili ndilo somo, uhaini, unafiki, kujikomba eti muhindi RA ni kaka yao, wapi na wapi? walikutwa vidampa wametuachwa vidampa squared ten years later wakiangalia nyuma hawana chochote, patamu hapo
 
Hivi mlitaka afanye nini baada ya pale? Aliwalipua na akatoa ushirikiano uliotakiwa na polisi na sasa ni juu ya Polisi na DPP kuchukua hatua. Mnaona raha gani mtu kuwa anaropoka tu mradi asikike?
 
nyie watu kweli hamnazo yaani huyu kadhubutu nyie mmekuwa butu sasa midomo na maoni mabovu nanyi toeni ya kwenu kama yana mshiko.
 
Back
Top Bottom