Mwendelezo wa kesi ya kupinga ubunge wa Lema - Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwendelezo wa kesi ya kupinga ubunge wa Lema - Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ngurati, Oct 28, 2011.

 1. n

  ngurati JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wadau,

  Nipo mahakama kuu ya Arusha kufuatilia kesi ilifunguliwa dhidi ya ushindi wa Godbless Lema.

  Polisi walimwagwa mahakamani tangu alfajiri wakiwavua kwenye Maharishi 12 ya polisi. Wamewazuia wananchi mamia kwa mamia waliokuja, Geti limefungwa na mahakamani wameingia watu wanaodaiwa kuwa makachero wananchi wamenyimwa kuingia.

  Imetokea vurugu na kutokuelewana baina ya OCD na mbunge Lema. Namuona hapa Lema na Nasari wanagombana na OCD na polisi kwa kuzuia watu kuingia.

  Jana jaji aliagiza mahakama kufunga loud speaker nje ya chumba cha mahakama ili watu wote waweze kusikiliza cha ajabu hakuna spika zilizofungwa.

  Wananchi waliokuwa ndani nao wameamua kutoka nje wakisema tumwanche OCD na polisi wasikilize kesi. Lema naye ameamua kutoka nje
   
 2. M

  MAPIKIPIKI Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Sasa mkuu huyo mh Lema ivi akitoka nae nje haiwezi kutafsiriwa vibaya na hao mawakala wa mgamba? Kua ameidharau mahakama?
   
 3. M

  MAPIKIPIKI Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mwita25 afadhali we umeiona kasoro habari nzuri dah lakini inabidi nawewe msomaji uwe makini kuielewa
   
 4. S

  SWASHBONGE New Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  sasa kiliendelea nini baada ya lema na wasikilizaj wachache kutoka nje ya mahakama hiyo? na je jaji alitoa maamuz gan baada ya kupewa info kuwa hamna speakers zozote zilizo fungwa nje ya mahakama hiyo?
   
 5. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,789
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  hapa pekundu hujaeleweka una maana gani
   
 6. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  baada ya lisaa limoja ya purukushani na polisi, hatimaye polisi wameamua kufuata matakwa yetu na kukaa pembeni na kutuachia kazi ya kupanga watu, watu ni wengi mno mahakama imefurika mpaka nje ya geti, polisi wamekuwa wapole kama maji ya mtungi. walitaka kutuchukua kutupeleka kituoni kwa nguvu ya umma tuka washinda, sasa wanaomba ulinzi kutoka kwetu, tumwahakikishia hata inzi hata kufa katika viwanja hivi vya mahakama.
   
 7. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #7
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  kamanda kilewo tupeni taarifa za kutosha, mbona nimepigiwa simu na mdogo wangu kuwa kunabaathi ya viongozi wa chadema wakiongozwa na mbunge wamepigwa vibaya na polisi? habari hii inaukweli gani? na nnasikia nassari kapelekwa polisi? lema naye hajulikani alipo? baada ya vurugu kutokea?
   
 8. n

  ngurati JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hatimaye makamanda wa Chadema wamewapanga watu na kazi imekuwa rahisi. Comition ilikuwa kubwa kamanda Nassari akatiwa nguvuni kwa muda na Ocd Ila baadaye OCD amesalimu amri na kuwaachia cdm kupanga watu.

  Mamia ya watu wamekaa chini nje ya chumba cha mahakama. Akiyanani lema ni jasiri alikuwa anamwambia OCD we can't live like this, we better die now. Tukiicha hii dhambi tutakuwa tunaibariki na kuwanyima watu haki zao za msingi za kufuatilia kesi ya mbunge wao.

  Nassari Nate akamwambia awaondo polisi mahakamani wakalinde watu na Mali zao mitaani sio kuja kujazana mahakamani kuzuia wananchi.

  Hali ilikuwa tete na machalii wa arusha ni wabishi sijawahi kuona
   
 9. R

  Red one Member

  #9
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hivi hawa police hawakomii? ngoja tuone watatufikisha wapi, maana kwa Arusha police kwasasa ni kama vile mgambo wananchi wanawachukulia poa sana.
   
 10. R

  Red one Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kamanda shukrani sana kwataarifa, maana tulikuwa tumeambiwa ulipelekwa police na lema alikuwa haonekani.
   
 11. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  people's power can't be defeated
   
 12. Kimbojo

  Kimbojo JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2009
  Messages: 387
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Twasubuiri habari zaidi kutoka huko
   
 13. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #13
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  "By any means necessary." lazima vyombo vya dola visikilize umma unataka nini, nasiyo maagizwa ya wakubwa zao, nchi yeyote ile duniani inawatu naserikali haiwezi kuwepo bila watu, wenye mamlaka ya mwisho ni watu. Arusha is our home, ccm sahauni kuhusu hujuma mliyoipanga ya kumtoa Lema na kuwaonyesha kuwa tunaweza huyu huyu jaji hatumkatae endeleeni kumtumia ila ukweli ndiyo utakaoshinda.
   
 14. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hii ndio inatakiwa. Hawa police wetu ni wazuri lakini vilaza CCM wanawachanganya sana. Naomba Mungu hiki chama cha magamba kife kabisa, ili nchi yetu iwe na uongozi bora, sio utawala bora.
   
 15. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Naona amechanganya na kimeru kidogo kuleta msisimko wa habari. LOL
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  zitto hajambo?
   
 17. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,506
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Jamani kesi ya nini wakati mbunge wetu tulimchagua wenyewe? hao magamba wanataka nini tena? kweli hii nchi tusipoamua sisi wenyewe hawa wezi wa madaraka watatupeleka wanavyotaka watanzania tuwe macho na tuchukue hatua...ukifa leo kwa kudai haki yako mtoto wako ama mjukuu wako ataishi maisha mema bila kubugudhiwa
   
 18. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #18
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  kamanda nadhani kilewo hayupo dar, sioni sababu ya kumuuliza hizi habari, unaweza ukawauliza waliyopo dar akina regia, mnyika na wengine wengi maana hata yeye nadhani anapokea habari kama wewe. kuna topic inazungumzia ishu ya zitto kwa msaada zaidi
   
 19. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #19
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naona Arusha ndio itakua Benghazi yetu, am sure abt that wakuu.
   
 20. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hajambo!
   
Loading...