ARKADI MAKONA
Member
- Jun 25, 2011
- 14
- 2
Yapata cku 10 tangu Ndugu Lowassa aseme kuwa hatovumilia tena kuchafuliwa na wanahabari,wanasiasa.Kilichonisukuma kuleta hoja hii ni UTII wa walengwa wa kauli ya lowassa hasa NAPE na MWANAHALISI.Maswali ya kujiuliza; 1:Je bado majibu kwa lowassa yanaandaliwa? kama ndivyo, tuyategemee lini? 2:Wameamua bora yaishe? kama ndivyo,jamii iwaelewe vipi? 3:Kama majibu ya maswali haya yote ni HAPANA,Je nitakuwa sahihi kusema kuwa ukimya huu maana yake ni kuwa Lowassa alishambuliwa kwa masilahi ya wanasiasa na wanahabari hawa kama alivyodai?? NAOMBA KUWASILISHA.