Luhanjo si muadilifu

naninibaraka

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
910
668
Kwa mda sasa luhanjo amekuwa akitajwa tajwa sana kuwa amekuwa akifuja rasimali za nchi yetu kupitia wizara ya maliasili na utalii,na amekuwa mkabila kwa kujaza watu wake kwenye nafasi nyeti serikalini! Lile swala la mmoja wa wafanyakazi wa wizara ya maliasili kutimuliwa kwenye bunge la budget limeishia wap? Au ulikuwa usanii tu
 
Wewe unayefuatilia ndiyo utuambie.
 
ulikuwa usanii na magazeti yetu sijui wamepata kitu kidogo maana walishupaa sasa hakuna kelele tena, nitamkumbusha Said Kubenea
 
Back
Top Bottom