kwanini haki ya kuandamana inanyimwa mara nyingi kwa watanzania?

majata

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
431
179
kwanini kila maandamano yanayopangwa nchi hii yanakuwa hayafanyiki kwa visingizio vya usalama? Nilini tutaandamana kwa uhuru bila kuingiliwa na jeshi la polisi lilokopale kwa maslahi ya viongozi huku wakiwakandamiza raia wakawaida? Siku ipo na siku inakuja tutaandamana kwa nguvu ya umma.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom