Shairi la Ben Mkapa akiwa Makerere University!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shairi la Ben Mkapa akiwa Makerere University!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kigarama, Oct 28, 2011.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Unaweza kuyatambua mawazo ya ndani ya fikra za mtu kwa kusoma maandiko yake. Kwa wale wanaompinga Mkapa au kumuunga mkono wanatakiwa kusoma shairi hili wakati huo Mkapa akiwa ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Makere nchi Uganda.


  FACING A VOLCANO
  By Ben Mkapa

  Like an angry lion of the tropical jungle
  The lava shoots up,
  A red arrow piercing a canopy of clouds,
  It threatens the endless stretch of sky.
  A circling garb of hot air,
  A circling garb of humans.

  A red cross on a green jeep,
  A red cross on a wood shack,
  A red cross on a white breast.
  They standby, grim, unshaken,
  To guard this circling garb of humans.

  They are all here,
  Men, women; young and old,
  Mystified, terrified.
  They gape it in, their cameras click;
  Later, removed in space and time,
  They will vent an endless chime:
  “Is it not wonderful?”
  A boy and a girl, but a few hours met,
  Their backs to the volcano, they face camera;
  He wants a souvenir.
  “Is it not wonderful?”
  A beautiful girl, and behind – a beautiful monster.

  A big truck unloads its cargo,
  Majestic, springy, the cargo swells the circling garb of humans.
  These are guards, of men against other men.
  The army, of course! They too missed the red lion.
  No, no, this is no enemy; juts a “glorious sight”
  And the red tongue lashes out.
  But it won’t lick the sky;
  It won’t lick these men – there are other tongue


  What thoughts do they all have? What feelings?
  As the eruption’s bowel of lost time hurls
  The granitic deluge of suppressed earth which
  Apace invades forlorn man and crop, and
  Imposes a reign of barrenness;
  What thoughts do they all have? What stir them?
  Fear, awe,
  Man helpless in contest with nature.
  He cannot harness this; he cannot explore it.


  What a fire! It surpasses hell.
  But the clergyman is not here;
  He has known a hell fire; he doesn’t have to see it.
  It is better imaged in the cloister, in the pulpit
  Better described.
  Nothing real, this heat, and dust, and fire.
  It makes no souls repent.

  They work at calculations,
  Scientists and seismographs.
  It defies them all, this tongue of fire, this fierce fiasco of rock and
  Dust;
  It defies time, this fiery testimony of nature.
  Ruthless, devastating, defiant,
  An angry arrow of fire.

  Jamaa alikuwa analizungumzia vuguvugu la waafrika kudai uhuru au Volkano ya kiukweli? Kuchagua kwake Volkano kuelezea hisia zake kumesawiri aina ya utawala aliokuwa nao kwa miaka kumi aliyokuwa Rais wa Tanzania?
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,588
  Likes Received: 3,886
  Trophy Points: 280
  ''Jamaa alikuwa analizungumzia vuguvugu la waafrika kudai uhuru au Volkano ya kiukweli? Kuchagua kwake Volkano kuelezea hisia zake kumesawiri aina ya utawala aliokuwa nao kwa miaka kumi aliyokuwa Rais wa Tanzania? ''

  FAFANUA MKUU
   
 3. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Amezungumzia nature spirtual na yalikuwa mashairi mazuri sana kwa wa kati huo akitafuta thamani ya maisha ni nini?na kwa kujua hilo la moyoni mwake ailia ikampa nafasi kuitumikia.Ila kwangu mimi alikosea kumalizia ubeti huo wa mwisho kwa sentensi hizo tatu , hakika hakuwa na jibu la kujibu asilia aliyokuwa anaiangaikia kuijua,na pindi alipokuwa na uwezo wa kujibu majibu ya asilia aliyokuwa anajiuliza, kwa kuangaika huko nature aliyotafuta ikampa favour kuitumikia lakini hatimae HAKUITENDEA HAKI, Na ndio maana aliishi na statement ya AN ANGRY ARROW OF FIRE

  Ubeti huu ndio umeeleza Maisha yake yote katika kuangaikia Ukweli halisi wa Maisha nini wakati anautafuta.Binadamu wanasema maneno yanaumba,na hivi kwa ubeti huo wa mwisho ndivyo alivyoumba utawala wake na hatima yake.Kwa wale wenye kujua asili [nature] inafanyaje kazi hiki si kitu cha ajabu kwa kuwa what goes around comes around.
  "defies time, this fiery testimony of nature.
  Ruthless, devastating, defiant,
  An angry arrow of fire.
  "

  1: defies time, this fiery testimony of nature.Hapa kaitafuta nature na uhalisia wake na ushahidi


  2: Ruthless, devastating, defiant,
  3: An angry arrow of fire.


  Hatima ya kuangaika kuitumikia Nature kwa ukweli halisi aliishia kuwa

  Ruthless=
  you say that someone is ruthless, you mean that you disapprove of them because they are very harsh or cruel, and will do anything that is necessary to achieve what they want.

  Devastating=
  If you describe something as devastating, you are emphasizing that it is very harmful or damaging.

  Defiant=
  If you say that someone is defiant, you mean they show aggression or independence by refusing to obey someone.

  What you wish for is what you get.
   
 4. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mimi hoja yangu ni kwamba sote tunafahamu kwamba ushairi unatumia lugha ya uficho. Nataka kwa pamoja kwa wale walio weledi (Professionals) kwenye mambo ya ushairi watusaidie kufunua yaliyo kwenye ushairi huu na kama ubabe wa Mkapa unatokana na falsafa yake kuhusu maisha aliyoijenga tangu akiwa chuoni Makerere.
   
 5. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
  Chukizo la Watanzania
   
 6. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #6
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mie na mashairi mbalimbali ngoja tuwaachie wajuzi watuchambulie.
   
 7. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  Haahaa! Ben Mkapa, mwanafunzi mzuri wa JK Nyerere!
   
 8. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,581
  Trophy Points: 280
  Wouldnt be a lot easier to ask Ben? Then we'd no longer be in doubt about its meaning.
   
 9. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  A big truck unloads its cargo,
  Majestic, springy, the cargo swells the circling garb of humans.
  These are guards, of men against other men.
  The army, of course! They too missed the red lion.
  No, no, this is no enemy; juts a "glorious sight"
  And the red tongue lashes out.
  But it won't lick the sky;
  It won't lick these men – there are other tongue.

  Kwenye Green na red unaikumbuka Net Group Solution ilivyoingizwa ofisini kwa mtutu wa bunduki?
   
 10. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,581
  Trophy Points: 280
  On second thought we d rather not,politicians have a way of saying and unsaying things.
   
Loading...