Kamanda Lema kutoka selo Jumatatu

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Leo Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA kamanda Mbowe,akiambatana na viongozi wa mkoa na wilaya alimemtembelea Lema selo,na kuafikiana kutoka jumatatu,baada ya kutoka tutafanya mkutano mkubwa sana viwanja vya NMC,ili kuwaeleza wananchi sakata zima la kugomea dhamana
 
kamanda pamoja sana! Zuberi inabidi ahamishwe au kustaafishwa kabisa.
 
Tungekuwa na viongozi aina ya Lema watano tu ndani ya serikali naamini tungekuwa tumeshakomesha rushwa, ufisadi na viongozi kunung'unika badala ya kuchukua hatua. Bravo kamanda lazima tutashinda.
 
Binafsi, Natamani ule waraka wa G Lema aufanyie kazi ... Hadi afikishe Mwisho.. na kupatikana ...UTU na UBINADAMU wa TAIFA! Ni Ujumbe MZITO sana ... kazi ni Kuutekeleza!!!!
 
Ngoja nianze kutengeneza mazingira ya kutokwenda kazini ili nishiriki.....Nanyaro nasikia wana kutafuta na wewe
 
Leo Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA kamanda Mbowe,akiambatana na viongozi wa mkoa na wilaya alimemtembelea Lema selo,na kuafikiana kutoka jumatatu,baada ya kutoka tutafanya mkutano mkubwa sana viwanja vya NMC,ili kuwaeleza wananchi sakata zima la kugomea dhamana

- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!
 
Nina wasiwasi kama mkutano utaruhusiwa leo tumesikia huko Dar John Mnyika kazuiwa kufanya mkutano kisa Al Shabaab itakuwa arusha.....
 
Pamoja sana,tunaomba itolewe hamasa kubwa sana kuwe na umati mkubwa iwe fundisho kwa Zuberi Mwombeji na vibaraka wake.Nitakuwa Tanga kesho Jumapili,lakini nitajitahidi niondoke Jumatatu asubuhi sana niende Arusha kuwaunga mkono makamanda halafu nitarejea Tanga Jumanne asubuhi.
 
Utakuwa umeambiwa na Nape si ndiyo we ulikuwa mwenyeji wake na jana tu ulimpeleka JFK?

QUOTE=W. J. Malecela;2764340]- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia![/QUOTE]
 
- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!
Unafiki aliuanza baba yako nasikia baada ya kutemwa akawanyangaya mashine alizokuwa amewapa mwananchi...
 
Tatizo mkuu unapewa hizo Data na Rafiki yako Nape.Niliona picha yenu hapa JF ulivyokuwa unampeleka Airport.
 
- Mkuu ulizia vizuri kwa nini Lema alikataa kutoka jela, utajua sio kabisa mnayodanganyana hapa! ha! ha! JF hamna baba hapa unasimama mwenyewe kujibu hoja! ha! ha! ha! Siasa za baba hamna hapa ni taifa mbele na kwanza!

Le Mutuz Baharia! Willy @ NYC, USA.
 
- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!

chanzo chako ni Nape tu wewe.
 
Tatizo mkuu unapewa hizo Data na Rafiki yako Nape.Niliona picha yenu hapa JF ulivyokuwa unampeleka Airport.

- Jadili hoja mkuu hoja hujibiwa kwa hoja, sio majina ya wasiohusika!, Nape ni rafiki yangu kama alivyo Mbowe, sidhani kama kuna crime hapo, jadili hoja tu mkuu wangu!

Le Mutuz Willy @ NYC, USA.
 
- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!

Mkuu upo ? Umeamua sasa kufanya kweli ? Tiuwasiliane kule sirini kuna dataza za ku share .
 
W. J. Malecela ni ushauri wa bure tu. Wewe ni zao la kifisadi. Ukiugua hautibiwi Mwananyamala
 
chanzo chako ni Nape tu wewe.

- Mkuu angalia nilianza lini haya mambo ya mitandao, halafu uniambie kwamba Nape ndio chanzo cha dataz zangu vipi mkuu siku hizi naona huku hakna tena hoja kujibiwa kwa hoja, ila hoja kujibiwa na matusi na majina, vipi kumkoma nyani siku hizi?

Le Mutuz! Willy @ NYC, USA.
 
Mkuu upo ? Umeamua sasa kufanya kweli ? Tiuwasiliane kule sirini kuna dataza za ku share .

- Mkuu wangu Lunyungu ni text namba yako ya sasa kwenye + 1 914-473-1033 nitakutwangia baack maana nimepita tu hapa kidogo baada ya Nape kuniambia asubuhi hii kuhusu hiii topic na nyingine kule, otherwise nimezidiwa sana na shughuli siku hizi muda ni mdogo sana, nitumie text ya namba yako nitakupigia, sasa hivi naelekea Boston nipo safarini!

Much Respect Bro!

Le Mutuz Baharia Willy @ NYC, USA.
 
Back
Top Bottom