Ujumbe wa Mbunge wa Arusha mjini akiwa magereza huu hapa.

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
Ndungu zangu wa Tanzania: leo nimetoka kumuona kamanda Godbless lema kwenye magereza kuu ya Arusha. ujumbe wake kwenu, msikate tamaa tunganishe nguvu kwa pamoja na tusimamie kile tunachokiamini maana saa ya ukombozi ni sasa siyo kesho tena, hayo nimaneno ya Godbless lema mbunge wa Arusha mjini.
 
Tuko pamoja kamanda na nikweli wao wana dola,wana silaha,wana magereza lakini sisi silaha yetu,gereza letu dola yetu ni Mungu,kwa kuwa tunachokipigania ni haki iliyodhurumiwa,iliyo minywa,na kuporwa kwa muda mrefu,tena bila huruma.
Aluta continua mapambano bado yanaendelea.
 
duuuuuuu
bado hajatoka tuuuuuuuuuuuuu

jamani yule ni mbunge anaheshima yeke
kwanini hatuheshimu nafasi yake ktk jamiiiiiiii?
 
Sifa za kijinga sasa zinamponza!. Lazma anyee debe.
 
Safii Kamanda!! Ukombozi ni sasa! Tupo pamoja tunateremka pamoja na tunapanda pamoja!
 
Sifa za kijinga sasa zinamponza!. Lazma anyee debe.

Lazima mtakubali hata kwa shingo pande kuwa Lema ni shujaa wa Tanzania!
Kwa nia njema na kwa dhati, ameamua kufanya kitendo ambacho ni kigumu kufanywa na jamii nyingi za kiafrica.
Hata Mandela alipokwenda jela kwa hiari yake wajinga wengi kama wewe walikuwepo, walimdhihaki, lakini baadaye walikubali ukweli uliposhinda. Tatizo wapumbavu kama wewe hamuoni kwa jinsi mlivyo na fikra mgando, mnawatumikia mafisadi, wakiwapa amri lazima mtatekeleza, hata ukiambiwa inama ukanywagwe utatoa tiGO tena bila kuuliza kwa sababu wanawatunza!
 
Naomba ukienda huko umpelekee naye ujumbe huu,"je haoni kuwa sasa kuna umuhimu na makusudi kabisa kutumia silaha kupinga uonevu na manyanyaso haya ya watawala wetu".
 
Watu wote wanaohusika na sakata la kumweka Lema ndani mie naamini wasingeenda hata shule kidogo na kupata madaraka haya wangekuwa wachawi na naamini pia wanatoka familia za watu wenye roho mbaya au za wachawi kabisa. Mungu wa sasa analipiza hapa hapa duniani hawawezi kuepuka kukubwa na mikosi hapa hapa duniani wao wenyewe, ama baba zao, ama mama zao, ama watoto wao, shangazi zao, wajomba zao, dada zao, kaka zao. Hawawezi kuwa na familia za furaha na watoto wao hawawezi kufanikiwa katika masomo yao na maisha kwa ujumla.Kwani wanao huzunika kwa sasabu ya Lema ni wengi mno na huzuni yao ni huzuni ya mungu.
 
Hadi kieleweke! Tupo pa1 daima. Kwenda kwake magereza kumesaidia kuamsha ari ya wana wa Arusha na kusabisa mgomo wa daladala uliolkuwa unashinikiza kamanda wa polisi wa wilaya atimuliwe. Angalau amestakiwa na uchunguzi unaendelea. Nasubiri siku anapandishwa kizimbani. Sipati picha!?
 
Hili la ocd ''mapanya'' zuberi kufunguliwa jarada na jeshi la polisi ni usanii mtupu, wanawakoga tu watu wa arusha.
 
Ndungu zangu wa Tanzania: leo nimetoka kumuona kamanda Godbless lema kwenye magereza kuu ya Arusha. ujumbe wake kwenu, msikate tamaa tunganishe nguvu kwa pamoja na tusimamie kile tunachokiamini maana saa ya ukombozi ni sasa siyo kesho tena, hayo nimaneno ya Godbless lema mbunge wa Arusha mjini.

Amekuambia atakaa mpaka lini mahabusu?
 
Sifa za kijinga sasa zinamponza!. Lazma anyee debe.
Hata aibu huna! Au na wewe ni miongoni mwa watu wanaotusumbua kwa ufisadi, ukandamizaji na udhalimu? Inawezekana kabisa umetumwa wewe. Umechemka kwa kauli yako ya kijinga
 
Back
Top Bottom