Misada ya Conservative kwa Chadema ina Mashaka!

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
toka watoe masharti kwa nchi zote ambazo ni wanachama wa jumuiya ya madola juu ya ushoga nilitegemea viongozi wa chadema watakemea kauli ile ya cameroon lakini mpaka leo wamekaa kimya je ndio tuseme chadema wanaunga mkono ushoga au nao wanaogopa wakikemea misaada itasitishwa, watanzania tunasubiri kauli ya viongozi wa chadema.
 
masaburi at work again!
 
CCM wametoa kauli CHADEMA ni washikaji wao hawawezi kuthubutu kukemea watanyimwa misaada
 
angalau JK alimkataa balozi chadema wameshindwa kutoa hata kauli tu ya kulaani
 
Mmeona la ushoga,madini yanayohamishwa usiku na mchana hamuoni,kweli nyinyi mnafikiri kwa kutumia masa-aburi.
 
mbona nasikia ushoga ni sera ya chama kimoja upinzani? kimeshindwa kulaani ushoga
 
Tunasubiri kauli ya mpambanaji Dr Slaa katika suala la ushoga

Acha akili ya nusu na robo,ulisoma thread ya jana ritz au unadandia gari kwa mbele? Mbona Dr wa ukweli alilitolea ufafanuzi jana? Please mods do the needful to this thread,is a repetition.
 
toka watoe masharti kwa nchi zote ambazo ni wanachama wa jumuiya ya madola juu ya ushoga nilitegemea viongozi wa chadema watakemea kauli ile ya cameroon lakini mpaka leo wamekaa kimya je ndio tuseme chadema wanaunga mkono ushoga au nao wanaogopa wakikemea misaada itasitishwa, watanzania tunasubiri kauli ya viongozi wa chadema.
Mkuu hii inchi ina viongozi halali kwa mijibu wa katiba sasa kama kila mmoja kwa nafasi yake atasimama kuongolea story hiyo hiyo moja tutakuwa hatusongi. Mimi naamini tamko la waziri Membe linatosha kutuwakilisha wote na ndio maana ya uongozi.
 
Magamba mna shida sana. Sasa CDM watoe kauli ya nini na kama nani? Mbona hamuulizi NCCR, CUF, TLP n.k. Why CDM all the time?

Besides moyoni magamba wanatamani wananchi tuukubali huu ushenzi kwani wazungu wakifungia misaada, itawabidi wachague either kulipana maposho au Kuziba pengo la misaada.
 
toka watoe masharti kwa nchi zote ambazo ni wanachama wa jumuiya ya madola juu ya ushoga nilitegemea viongozi wa chadema watakemea kauli ile ya cameroon lakini mpaka leo wamekaa kimya je ndio tuseme chadema wanaunga mkono ushoga au nao wanaogopa wakikemea misaada itasitishwa, watanzania tunasubiri kauli ya viongozi wa chadema.
Chadema watoe tamko kwani wameshika dola???nchi ipo chini ya CCM iweje unataka kusikia tamko toka kwa CHADEMA???Kwann usiulizie tamko la UPDP, TPP Maendeleo na UDP???Mimi sion mantik kulisubiria tamko la CHADEMA, Ungetaka kusikia tamko lao ungewapigia kura 2010, kura uliwanyima leo unahamu ya tamko lao, hii imekaaje!!!!!
 
Back
Top Bottom