Miaka 50 ya uhuru na mgao wa umeme

mzambia

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
885
60
Habari za mida hii wana jf
mda huu nipo iringa hapa samora tunaadhimisha miaka 50 ya uhuru wa tanganyika huku umeme ukiwa ni wa mgao hata hapa uwanjani ambako mwenge wa uhuru unategemea muda si mrefu kufika.

Swali je huu ni uungwana?
 
Back
Top Bottom