Wiki za maazimisho ya miaka 50 imeisha wizara zimehamia kwenye Shimiwi

Biz2geza

Senior Member
Oct 12, 2011
117
20
hivi hizi kodi ambazo zinatumika kwenye hayo matamasha zinatija kwa taifa?tungeehamua kuzielekeza kwenye matatizo yetu ya msingi zisingesaidia?
Itatuchukua muda sasa kufikia malengo kwa matumizi yasiyo na tija.naomba kuwasilisha.
 
Dawa box la kura 2015,tatizo siyo Mashati rangi ya kijana kuchafuka,bali yamechanika kabisa,narudia dawa sanduku la kura---Out.
 
Hivi output ya Hayo mashindano ya shimiwi ni nini kwa mtanzani wa kawaida? zaidi ya kuteketeza kodi zao na kunufaisha wachache.....
 
ofisc kwetu wameniteua kwenda shimiwi Tabora kwa wiki mbili and then Morogoro wakati mm hakuna hata mchezo ninaoucheza nimekataa kwenda siwezi kufoji hela za walipa kodi bure
 
Another channel ya kutuibia hela zetu kupitia shimiwi. Bila shaka jana mliangalia sport kizazaa.
 
Hivi output ya Hayo mashindano ya shimiwi ni nini kwa mtanzani wa kawaida? zaidi ya kuteketeza kodi zao na kunufaisha wachache.....

Hayo mashindano hayana maana yoyote! Badala watu wakae maofisini wafanye kazi eti wako viwanjani wanashindana football, netball na kuvuta kamba! Jamani kuna mitanzania mijinga mpaka inatia hasira! Football wanafungwa taifa stars itakuwa ya shimiwi! Wizara zinaingia gharama kusafirisha na kulipa wafanyakazi per diem kwenda kushindana kuvuta kamba! Yaani watanzania hatuna priorities tunaburuzana tu bila kujua tuendako.
 
Well said Mwaj: Lakini utashanga hao ambao wamepewa Jukumu la kuhakisha matumizi ya kodi yetu zinatumika kama ilivyokusudiwa wamepiga kimya.Eti wenyewe mawazo yao wanakuza kiwango cha michezo Tanzania,Kumbe wanashindwa kutuambia tu kuwa hiyo michezo ni sehemu ya watu kujipatia Perdiem Tu.Mwisho wa haya yote aibu tu
 
ofisc kwetu wameniteua kwenda shimiwi Tabora kwa wiki mbili and then Morogoro wakati mm hakuna hata mchezo ninaoucheza nimekataa kwenda siwezi kufoji hela za walipa kodi bure
Nakusifia kwa kukataa Kufoji ila mkuu huna kweli hata kamchezo kokote unakoweza kucheza? Afya yako itakuletea mgogoro ambao utaigarimu taasisi yako zaidi...mmh hebu cheki BODY MASS INDEX (BMR) yako inaweza kukushawishi utafute mchezo wa kucheza ili mwaka kesho nawewe ukale hizo (PERDIEM)
 
Back
Top Bottom