Kama Dowans walitoa Huduma kwa kiwango cha makubaliano walipwe kwa hilo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama Dowans walitoa Huduma kwa kiwango cha makubaliano walipwe kwa hilo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamundu, Nov 7, 2011.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,108
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Watanzania pamoja na kuwa na mapambano na ufisadi ni lazima tuwe wa wazi na watu wenye kufuata sheria kama tuntaka maendeleo ya nchi yetu. Mimi sielewi hili swala kwa kina sana lakini kama mambo yako kama ninavyofikiria chini basi inabidi Dowans walipwe.

  1. Kama malipo ni ya huduma tu iliyotelewa. Hii ni umeme uliouzwa kwa Tanesco kwa rate ambayo walikubaliana.
  2. Hakuna kulipa riba wala pesa ya kukatisha mkataba.

  Hatuwezi kukutaa kuwalipa Dowans kwa huduma waliyoitoa wakati tunawalipa kampuni nyingine. lakini malipo yasihusishe riba ya deni na faini nyingine kama za Lawyer na kutatisha mkataba. Hatuwezi kuwa na serikali inayo rusha watu haki zao hata kama mkataba ulikuwa badili Tanesco isingenunua umeme. Mfano kama kuna kituo cha mafuta ambacho kinafanya kazi bila kibali serikali inatakiwa kukifunga na kupiga faini lakini sio kuchukua mafuta ya kituo hicho bila malipo hiyo siyo sheria.
   
 2. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Inabidi tulipe riba na gharama za kesi.
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kawalipe hela zako mwenyewe na wala usije ukatushirikisha katika zoezi lako hilo mpaka mwisho wake. Yeyote atakayeilipa mrithi wa KAMPUNI HEWA hapa shauri yake.
   
 4. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Watalipwa na hamna kitachotokea.........kelele nyingi tu, valangati hamuwezi!
   
Loading...