Je unaadhani 2015 patakalika au nimpasuko ndani ya CCM?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je unaadhani 2015 patakalika au nimpasuko ndani ya CCM??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Nov 7, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Tumeshuhudia kila kukicha kunakuwepo malumbano kwenye vyombo vya habari hasa ndandani ya CCM malumbano ya kubomoana,kuchafuana lakini ukiangalia kwa umakini kwa viongozi wa CCM,makada wote wana malengo yao ni kwenye mbio za urais 2015! na hii nibaada ya kutumika mtandao uliomuweka madarakani Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuja na staili ya kuchafuana na leo tunaona hiyo kasumba bado inaendelea na ndo mtaji kwa makada wa CCM! nabaada ya mtandao wa 2005 kugawanyika!!
  Nidhahiri sasa hivi ni chuki ndiyo inayotawala na mgawanyiko uliopo sasa ni juu ya nani atawania kiti cha Uraisi 2015!!Kila mmoja ameweka mtandao wake kuanzia taasisi za CCM ndani na nje,Vyombo vya habari!wote hawa wanafanya kazi kwa malengo binafsi na kuwakilisha upande fulani japo yawezekana hawajitokezi mojakwamoja lakini hali ndivyo ilivyo!Kwa CCM wanaumana na hawajui ninani ataingia katika kinyan'ganyilo ila anayejua ni Mwenyekiti pekee!!
  Je kama mwenyekiti ndiye mwenye jibu je hizi Siasa zakuchafuana kwa staili ya kuvuana gamba atazifanyeje? je ataacha ziendelee?
  Je unaadhani 2015 patakalika au nimpasuko ndani ya CCM??
   
Loading...