Makao Makuu Jeshi la Polisi walipomtembelea Lema

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2008
2,268
333
Je hii ni halali kwa makamishna wawili kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam, pamoja na Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha na Ofisa Upelelezi wa Mkoa wa Arusha, kumtembelea mahabusu kumsihi akubali kutoka ili kuleta utulivu jijini hapa.

Wakati ni wale wale waliombambikizia kesi wakitegemea kumumaliza kisiasa
,je hawakulijua hili kuwa utulivu utatoweka endapo wapiga kura wake wakiamua kujibu kwa vitendo?

Au ujio wa mtoto wa mfalme wa Uingereza, Prince Charles, ambaye atawasili jijini hapo tarehe 9, ndo chanzo cha hawa Makamishina kumuona Lema gerezani?
 
Siku zote wanasema kuna haki za binadamu na utawala wa sheria chini ya JK .Mimi nadhani Chadema waendelee na siasa tu hata huyu Price Charles ajionee mwenyewe badala ya kuficha ficha uozo.Acha watu waingie mitaani kumwambie Prince kwamba kuna uharamia wa kisiasa Tanzania .
 
watu wengi wanachukulia uamuzi wa Lema kwenda jela kwa hiari ni uamuzi wa kipuuzi lakini kwa mtu anaefuatilia na anaefahamu mchezo wa uchangaji kete za kisiasa jamaa sio mjinga, ana sababu ambayo huenda hawa jamaa nao wameshagundua.

By the way, Lema has made that move at such a perfect timing......Very Strategic.......Jamaa kwa kweli ana akili na ni muhimu hili watu wa Polisi na Usalama waliangalie bila kupuuzia......Arusha sio pa mchezo na Lema anajua hilo
 
By the way huyu Prince nani siju ni nani? Nachoshukuru wanatambua kuwa kuwepo kwa Lema ndani ni hatari kwao...huyu kamanda ni hatari kwa ujinga wa CCM anawachachafya sana...
 
watu wengi wanachukulia uamuzi wa Lema kwenda jela kwa hiari ni uamuzi wa kipuuzi lakini kwa mtu anaefuatilia na anaefahamu mchezo wa uchangaji kete za kisiasa jamaa sio mjinga, ana sababu ambayo huenda hawa jamaa nao wameshagundua.

By the way, Lema has made the made at such a perfect timing....Jamaa kwa kweli ana akili na ni muhimu hili watu wa Polisi na Usalama waliangalie bila kupuuzia......Arusha sio pa mchezo na Lema anajua hilo

uko sahihi kabsa..pamoja
 
Lema ni hatari kama RTLM ya jirani z2,dont expect more from this guy!mchonganishi wa amani,be creative 2pe cha kufanya cku2shawish kufanya ya kipimbi,cdm ni tegemeo l2 c hilo wazo lako mkb
 
"Masaburi,ku cameron"JF inaelekea kubaya sana!!!dhana ya great thinker yapotelea kizani itabakia jukwaa la ..........waropokaji
 
watu wengi wanachukulia uamuzi wa Lema kwenda jela kwa hiari ni uamuzi wa kipuuzi lakini kwa mtu anaefuatilia na anaefahamu mchezo wa uchangaji kete za kisiasa jamaa sio mjinga, ana sababu ambayo huenda hawa jamaa nao wameshagundua.

By the way, Lema has made the made at such a perfect timing....Jamaa kwa kweli ana akili na ni muhimu hili watu wa Polisi na Usalama waliangalie bila kupuuzia......Arusha sio pa mchezo na Lema anajua hilo

Mkuuu ongera kwa kuliona hilo.
Sijuuu sasa polisi watamtisha nanini kama mahabusu kakaa,selo za polisi kakaa siwelewi polisi watakuja na njiaa gani sasa.?
 
Mkuuu ongera kwa kuliona hilo.
Sijuuu sasa polisi watamtisha nanini kama mahabusu kakaa,selo za polisi kakaa siwelewi polisi watakuja na njiaa gani sasa.?
Lakini la muhimu ni kuhakikisha kuwa ana-achieve kile kilichosababisha mpaka akatalie mahabusu
 
Nguvu Silaha pendwa 'vitisho na matendo' ya kikandamizaji naona imeanza kuishiwa nguvu.
"Now people are gathered on the beach and the leaders try to make a speech,every where fire is burning.........."
by Robert Nesta Marley

Ndiyo mkuu, imo kwenye "Ride Natty Ride!" album ile ya Confrotantion. Bob was a prophety
 
CCM wanawaonea wapinzani sana, utasema NCHI hìi ni ya kwao peke yao! Yani mie wananiuudhi basi tu, MUNGU tuokoe na JINAMIZI hili.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom