Kenya Airways yaandikisha faida kubwa, ATCL sijui hawaoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya Airways yaandikisha faida kubwa, ATCL sijui hawaoni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Komeo, Nov 4, 2011.

 1. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,396
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Jana shirika la ndege la Kenya limetangaza kupata faida ya katikati ya mwaka ya Kshs 2.8 billion (sijui ni sawa na Tshs ngapi) ikiwa ni Gross Profit.

  Source: Citizen TV ya Kenya.

  Naweza kusema Net Profit ni Kshs 1 billion, kwa kifupi biashara ni nzuri.

  Kinachonisikitisha ni hali ya kiuchumi ya ATCL. Wiki iliyopita walirusha kidege kimoja kwenda Tabora na Kigoma. Tunaambiwa walipofika Tabora abiria walikuwa wengi sana kiasi kwamba ilibidi wahudumu wa4 wa ndege hiyo waachwe Tabora ili kupisha abiria. Jamani hivi ndege ndogo kama ile inapokuwa na rundo la wahudumu/watumishi watapata faida kweli? Bado naona running cost zao zitawaelemea sasaivi then wata colapse tu, na bado naona kama shirika letu laendeshwa kiholela zaidi kuliko kibiashara. Kindege chenyewe kimoja tu, tena used!
   
 2. K

  Kiti JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ushauri wa bure kwa ATCL:
  1. Acheni kupokea vimemo toka serikalini kusafirisha wakubwa serikalini kwamba mtalipwa baadae kwa cheque (Payment first)
  2. Idadi ya wahudumu ndani ya ndege iendane na mashirika mengine ya ndege.
  3. ATCL ilipishe mizigo yote inayozidi kiwango kilichopangwa. Nani asiyejua kwamba ndege ikienda Mwanza inrudi na shehena za samaki kibao za wahudumu na jamaa zao bila kulipiwa. Ndege ikienda nje ya nchi wahudumu wanajaza mizigo kibao isiyolipiwa gharama.
  4. Serikali isiingilie menejimenti ya ATCL. Fanyeni kazi kibiashara siyo kisiasa
  5. Wadau ongezeni .....
  6. .......
  7. .....
   
 3. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  juzi nimeona ka ndege kao kamoja ndo kameanza kwenda sijui mpwapwa huko....kwanza hakajatengemaa kale .....atcl kujiendesha kwa faida ni baada ya miaka 7
   
 4. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Unaweza kusema net profit ni ..... From no where?
  Any way mkapa alituuzia shirika letu, Limerudi kipindi cha JK likiwa taabani nalo limemshinda. Aibu yao.
   
 5. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,396
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Sikujua kuwa pamoja na utitiri wa wahudumu bado kuna mizigo wanabebesha ndege bure! Kwa mtaji huo hilo shirika lazima lijifie tu. Mlioko karibu na uongozi wa shirika wapeni ushauri wa kibiashara hao watu.
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  kwanini wanalazimisha biashara iliyowashinda? Fungeni tu hiyo kampuni, ni mzigo tu kwa Watanzania.
   
 7. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,507
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Kwani marehemu huwa anaona?? RIP ATCL!!!!
   
Loading...