Ukweli ni kwamba pamoja na mbwembwe zote,lakini mkutano huu umeanza sasa hivi,hakuna watu kabisa,nimemuona Mhe.AKONAI na Mbunge wa viti maalum sijamfaham kwa jina,kweli Dodoma chadema bado haina...
Chadema watimuana Kilombero
Send to a friend
Sunday, 06 November 2011 20:09
0diggsdigg
Venance George, Morogoro
WANACHAMA wa Chadema Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro umewatimua...
Baada ya wanamtandao kumfitinisha Kikwete na Mzee Benjamin Mkapa mwaka 2005 huku wakipandikiza chuki dhidi ya Mkapa kwa madai kuwa alikuwa hamtaki Kikwete chuki ambazo zimewahi hata kuandikwa na...
Even as president of a banana republic , you cannot rule and do everything by yourself, (the case of Jk Nyerere). You have to rely on a circle of close unofficial and official advisors who happen...
Mon Nov 7, 2011 12:34pm GMT
(Adds details on fiscal tightening plans)
* Government agrees fiscal tightening in 2012/13
* Spending not to exceed revenues and grants
* Tanzania has faced rising...
Kwa Wakuu wote wa Chadema
napenda kuchukua nafasi hii kuwauliza kama kweli mna mpango wa kuchukua madaraka 2015
kila wakati nikiwaza miaka mingine mitano na ccm nakata tamaa,je wakuu mna mpango...
*Asema serikali yake haijui rasilimali zilizopo
*Adai ina mfumo dhaifu kudhibiti fedha za umma
*Asisitiza hali ya umaskini inazidi kuongezeka nchini
*Ampongeza Dkt. Shein, azungumzia utata wa...
Mwenyeki wa kijiji cha Ngerengere Kata ya Nyamaraga Wialaya ya Tarime, CHACHA GATI amevuliwa uongozi na wananchi wakimtuhumu kutumia vibaya fedha za michango ya maendeleo. Ghati alikuwa...
Wana JF kuna rafiki yangu ametoka hapa Arusha yuko Kenya kuhudhuria kongamano la wahasibu Afrika. Jamaa ananiambia ilikuwa Rais Mwai Kibaki afungue kongamano lao pale KICC mida ya saa tano...
Written by Hassan10 // 07/11/2011 // Habari // 1 Comment
Makamu Mwenyekiti wa Cuf taifa, Machano Khamis Ali
Saturday, 05 November 2011 20:42Claud Mshana
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema...
Leo nimeharibu siku yangu nimepita maeneo ya Hazina pale nikamsikia Afisa mmoja akizungumza na mwenzake kwa uchungu sana. Vitu muhimu nilivyo vi-note ni kama ifuatavyo.
1. Kila wizara...
Ni jambo la ajabu na la kushangaza serikali kushindwa kulipa wafanyakazi wake mpaka kufikia kukopa bank za ndani,utendaji wa sasa wa serikali kushindwa kusimamia ukusanyaji wa mapato na matumiz...
Wanafunzi wapya wa mwaka wa kwanza 1 st degree na postgraduate candidates wa CDM wamekaribishwa rasmi leo katika tawi la UDOM Chadema, tayari kwa kazi ya Ukombozi. Vivaaaaaaaa. Chadema mpaka...
Wana JF,
Mtazamo wangu upo sawa na Warioba kuwa deni la Dowanskuwa lipo kisheria na haliepukiki. Mi nadhani hapa ni kutumia maandamano kuilazimisha serikali kuwataja watu wote waliohusika...
Jamani kati ya mambo matatu ambayo Chama cha CONSERVATIVE cha uingereza ambacho ni mshirika mkubwa wa CHADEMA kinacho ni UDINI, UKABILA NA USHOGA. Lakini CHADEMA wao wamekuwa wakilalamikiwa kuwa...
Nauliza hivi maana alitwambia kuwa TUKITAKA KULA LAZIMA TULIWE. Je alikuwa ana maanisha nini? Maana sasa Waingereza wamesema mpake tulane ndio tupate misaada. Lakini cha ajabu M'kwere kakaa kimya...
Kama alivokuja Prince Charles, Prince Waleed bin Talal naye yuko Tanzania kwa ziara siku moja:
Presdent Jakaya Kikwete and his guest HRH Prince Alwaleed Bin Talal Bin Abdulaziz Alsaud, Chairman...
Ushindi kilioupata chama cha Democrasia na maendeleo na mgombea wake wa Urais
katika uchaguzi mkuu wa Mwaka Jana sio jambo dogo kwao na kwa wananchi pia.
Hivyo ninaomba kujua ni lini DR ataanza...
Mbunge wa jimbo la Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kuongoza nchi kwa sababu kimeshindwa kutambua kiwango cha rasilimali ambazo nchi...
Jeshi la Tanzania limesema limewakamata wanajeshi 20 waliokuwa wamejihami vikali kutoka nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Msemaji wa jeshi la Tanzania katika mji wa Magharibi wa...