Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna habari nimeisikia hapa Clouds kwamba polisi wanawapiga mafundi garage risasi kuwataka wahame ndugumbi, kuna usalama huko?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepokea SMS hii hivi punde “ Wazalendo wenzetu wanakesha NMC kudai haki, tujiunge nao kwa kumtaka Rais Kikwete 0754777777/0754777775 na Spika Makinda 0754/0784465226: Lema aachiwe, uchaguzi wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndg. Hashim Rungwe Na Alfred Lucas – Imechapwa 19 October 2011 HASHIM Spunda Rungwe hajachuja kwa tambo. Anatamba bado angali na maarifa ya uongozi adilifu. Akiwa ni mwana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni jambo lililo wazi kuwa kuna chuki kubwa inayoendelea kuenezwa kuhusu chama cha mapinduzi. Hata pale ambapo chama kimeshinda uchaguzi wako wanaobeza na kusema hakikushinda kwa kupendwa bali ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mitaji na Maendeleo ya kijamii Bw, Robert S. Shumake yenye Makao Makuu yake jimbo Michigan...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mon, Nov 7th, 2011 Mon, Nov 7th, 2011| Tanzania British Foreign Office Minister Henry Bellingham The British Minister for African Affairs, Mr Henry Bellingham said on Monday that his...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mzee Pius Msekwa Fidelis Butahe Monday, 07 November 2011 "NILIPATA bahati ya kulelewa na Mwalimu Julius Nyerere wakati nikiendelea na masomo katika shule ya sekondari ya Pugu, aliujua uwezo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Zaidi ya askari 20 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wametiwa kizuizini nchini Tanzania kwa kuingia kaskazini -magharibi mwa nchi hiyo kinyume cha sheria, jeshi la Tanzania limesema...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu jioni ya leo wale wote wanaopinga sera za uingereza za kushinikiza Tamaduni za kishetani kama vile upewaji wa misaada kwa ushoga basi naomba mshiriki maandamano makubwa ya kupinga ujio wa...
2 Reactions
62 Replies
7K Views
CCM na Serikali yake imekuwa ikiwatumia vibaraka wake kukandamiza haki za wananchi. Mfano mzuri ni jinsi wanavyo tumia makanda wa polisi, mahakimu, kutoa maamuzi ya kunyima haki watu. Mimi nadhani...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamvi, hawa jamaa wanaboa, inawezekanaje waseme wataanza kutoa vitambulisho vya uraia kwa wafanyakazi wa serikali, au ndo watu kutaka waonekane wamefanya kazi, hivi anaehitaji kitambulisho...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Siku moja nilisikia Rijamaa Rimoja Rinasema , "VITA NI VITA MURA", sikujua huyu jamaa alikuwa na maana gani?. Kumbe vita ya maneno ndiyo mbaya kuliko hata ile ya kushika SILAHA. Nadhani hii...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
Wana JF sijui maoni yenu, Ila mimi nampa Big up huyu mwana Dada! Hachakachui Picha na habari pale anapowasilisha studio. Pia nampa pole kwa mizunguko yote ya Dr Slaa. Ningekuwa mshauri wa Dr...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Leo tbc katika kipindi maalumu cha saa moja unusu hadi mbili usiku imerushwa documentary moja ikiongelea utalii maendeleo na changamoto zake na baadhi ya viongozi wa mamlaka za wanyama pori...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hakuna ubishi CDM ni chama mbadala kitakachorudisha tumaini lililopotea baada ya 50yrs.Imebaki kazi moja tu ya kuwaamsha Wtz walioko vijijini,na kazi hii ianze haraka iwezekanavyo kabla ya...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Watz wenzangu, Naomba kujua hali za hawa wabunge wetu, je, wamesharudi tanzania wote au bado wako matibabuni? Na vipi hali zao maana imekuwa kimya sana hatupati updates zao mara ya mwisho...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wabunge wa CHADEMA leo wamewasha moto katika mkutano wa hadhara mkoani Dodoma katika uwanja wa Barafu kabla ya kuanza kwa kikao cha Bunge. Christowaja kaishukia bodi ya mikopo, asema mabilioni...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
1.Uhuru na kazi. 2.Rushwa ni Adui wa haki 3.Sitatoa wala kupokea rushwa 4.Sitojilimbikizia mali 5.Nitasema kweli daima
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii ni ajabu lakini kweli! Kumbe zoezi la upigaji kura ili kuufanya uwe miongoni mwa maajabu ya dunia lilianza mwaka 2009. Yaani nilivyomuona huyu Waziri Mkurupuka Mizinguo Pinduka akidai hivyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshma kwenu magreat thnker na wenye itikati za kumkomboa Mtanzani kutoka kwenye uongozi wa mashetan,machokolaa,waliolaaniwa pia waliokosa u2 hata roho za huruma.ingawa cku zao znahesabka mim...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…