Wana arusha na wanachadema wote hasa Arusha:dont lose this chance

NIMEKIMBIA CCM

Senior Member
Oct 4, 2011
193
26
Heshma kwenu magreat thnker na wenye itikati za kumkomboa Mtanzani kutoka kwenye uongozi wa mashetan,machokolaa,waliolaaniwa pia waliokosa u2 hata roho za huruma.ingawa cku zao znahesabka
mim nilikuwa nafikiria kesho mtoto wa malkia atakapokuja huko arusha mcmsucse ila ndo muda muafaka wa kuitangazia dunia uchafu unaofanywa na viongoz wa ccm hapa nchn?
1)andiken jinsi watoto wa masikin wanavokosa kusoma kwa kutapelwa mikopo
2)andikeni jinsi Demokracy ye2 inavobakwa
3)semen suala la ufisadi ambapo hata raic anashndwa kulaani badala yake anakuwa wa kwanza kuwanad kwenye uchaguz
3)andikeni jins w2 wanavofungwa bla hatia na kubambikiziwa kec
kila m2 aongeze analolkumbuka
So COZ KUTAKUWA NA VYOMBO VYA HABAR VYA KIMATAIFA Tufanye hvyo 2spoteze h nafac.
MUNGU AWABARIKI SANA
Karibuni kwa michango
 
Hatuna shida na prince.Akituhitaji atukute NMC SQUIRE tuko bizzy na ukombozi
 
Mungu hamtupi mja wake,saa ya ukombozi ikiwadia hakuna wa kuweza kuizuia.

Siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
 
Hapo umeongea mkuu, vp issue ya lema! Wana arusha mmepokea kwa heshima zote? Kamanda Mbowe nilisikia atafika gerezani vp alikuja?
 
Dunia ipi ielewe ufedhuli na unyama unaofanywa na Magamba? Mpaka hapa tulipo ulimwengu unaelewa nn kinachoendelea... Kwa taarifa yako hao wanaomiliki vyombo vya habari vivavyochagua habari, tbc ikiwemo muda si mrefu wataelekeza attention yao Tz. Wapende wasipende watakubali.
 
Mungu mkubwa ukombozi wa dhati umefika Tanzania,tupo pamoja wana Arusha,wao CCM wanapesa na polisi,sisi Chadema tuna Mungu anayeturinda.
 
Heshma kwenu magreat thnker na wenye itikati za kumkomboa Mtanzani kutoka kwenye uongozi wa mashetan,machokolaa,waliolaaniwa pia waliokosa u2 hata roho za huruma.ingawa cku zao znahesabka
mim nilikuwa nafikiria kesho mtoto wa malkia atakapokuja huko arusha mcmsucse ila ndo muda muafaka wa kuitangazia dunia uchafu unaofanywa na viongoz wa ccm hapa nchn?
1)andiken jinsi watoto wa masikin wanavokosa kusoma kwa kutapelwa mikopo
2)andikeni jinsi Demokracy ye2 inavobakwa
3)semen suala la ufisadi ambapo hata raic anashndwa kulaani badala yake anakuwa wa kwanza kuwanad kwenye uchaguz
3)andikeni jins w2 wanavofungwa bla hatia na kubambikiziwa kec
kila m2 aongeze analolkumbuka
So COZ KUTAKUWA NA VYOMBO VYA HABAR VYA KIMATAIFA Tufanye hvyo 2spoteze h nafac.
MUNGU AWABARIKI SANA
Karibuni kwa michango

Umekimbia CCM lakini una andia ki Nape hapa .Mkuu hapa si FB hapa ni kukata issues unaandika unasomeka .Wenye elimu za kata hapa ni wachache mno kama Ngoda na FF na Nape mwenyewe
 
Kwahyo hii sehemu sisi wenye elimu ndogo ha2ruhusiwi na 4m4 ye2?mi nilifikiri hapa ndo sehemu ya ku2pa elimu 2lyoikosa.
Nakiri m co mwandish mzuri but nina mawazo juu ya nch yangu
TUVUMILIANE WAHESHIMIWA
 
big up mkuu, ur a great thinker, dont loose hope plz
 
Back
Top Bottom