Ujumbe kwa Rais Kikwete na Spika Makinda

Paparazi Muwazi

JF-Expert Member
Dec 23, 2007
310
79
Nimepokea SMS hii hivi punde “ Wazalendo wenzetu wanakesha NMC kudai haki, tujiunge nao kwa kumtaka Rais Kikwete 0754777777/0754777775 na Spika Makinda 0754/0784465226: Lema aachiwe, uchaguzi wa umeya Arusha urudiwe, mafisadi wa EPA/Richmond/Dowans wakamatwe, muswada mbovu wa sheria ya katiba uondolewe, mpango wa dharura wa kupunguza gharama za maisha upitishwe. Nchi ni yetu sote, sambaza ujumbe kwa wengine”
Hivi kuna mwenye namba ya simu au ya barua pepe ya balozi wa Uingereza Tanzania au ya Mtoto wa Mfalme na ujumbe wake unaondelea kufurahia tafrija ikulu hivi sasa?
 
Nimepokea SMS hii hivi punde " Wazalendo wenzetu wanakesha NMC kudai haki, tujiunge nao kwa kumtaka Rais Kikwete 0754777777/0754777775 na Spika Makinda 0754/0784465226: Lema aachiwe, uchaguzi wa umeya Arusha urudiwe, mafisadi wa EPA/Richmond/Dowans wakamatwe, muswada mbovu wa sheria ya katiba uondolewe, mpango wa dharura wa kupunguza gharama za maisha upitishwe. Nchi ni yetu sote, sambaza ujumbe kwa wengine"
Hivi kuna mwenye namba ya simu au ya barua pepe ya balozi wa Uingereza Tanzania au ya Mtoto wa Mfalme na ujumbe wake unaondelea kufurahia tafrija ikulu hivi sasa?

Siyoni sababu ya kufanya hivyo wakati natambua kabisa kwamba kila mtu ana malengo yake katika ghasia hizo na istoshe ni kuvunja sheria za nchi. SLAA lazima afanye huo upuuzi ili apate kuendelea kula mil.12 kwa mwezi, MBOWE lazima afanye hivyo ili baadaye madeni yanayokidai Chama yalipwe na vilevile kuwahadaa wanachama kwamba anaweza kuliko ZITTO ili aendelee kula, LEMA maskini wangu yeye anatumiwa kama chambo tu ili Chama kiendelee kupata mvuto wa kinafiki. Sasa mimi nisambaze ujumbe huo wa chuki kwa faida gani?
 
sambaza kwa kutumia masaburi yako
 
hizo ndio namba za JK, sas ukumtumia watukamata kama Liumba bure
 
Back
Top Bottom