Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hasira ya vijana wa DSm kwenye sakata la Mh Godbless Lema na hatma ya Wanachadema Kukesha Viwanja vya NMC wameamua kufanya jambo ambalo litaushangaza ulimwengu ifikapo kesho asubuhi iwapo Mh lema...
0 Reactions
97 Replies
9K Views
Niko katika viwanja vya NHC arusha mvua inanyesha mno. Lissu anatoa ufafanuz wa kisheria ili Dr. Slaa atoe msimamo wa chama ambao ni kuhakikisha Lema lazima atolewe. Naona kuna Libya inanukia...
33 Reactions
674 Replies
53K Views
Nimejaribu kulinganisha hili tukio la CHADEMA kukesha NMC and demonstrators ambao wapo st Pauls Cathedral London kwa wiki kadhaa sasa na hakuna polisi wanaowavuruga wala kuwatimua kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa umahiri wa NEC kuchakachua kura napendekeza, tume hii ikiongozwa na Makame Lewis na Kiravu iongoze kura za kuufanya mlima kili moja ya maajabu. Nadhali uzoefu wao wakuchakachua utatushindisha tu!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za kuaminika tika kwa mtu aliye karibu kabisa na SEKRETARIETI YA CHADEMA atoa siri kwamba , kumbe baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 walikubaliana kile walichokiita ILANI BAADA YA...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Malawi mambo yameiva Tanzania mambo yameharibika mno afadhali ya Malawi. Wanaharakati wa Tanzania vipi, haki za binadamu ziko wapi wakati wananchi wanakufa njaa, familia zimesambaratika kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KWA WANAOPATA TAABU KUFUATILIA TAARIFA MBALIMBALI ZA UCHAGUZI MKUU NCHINI TANZANIA, TEMBELEENI HAPA.....mpate na nafasi ya kuchat na wadau wengine BBC LIVE STREAM
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Jana niliona dhifa ya Taifa ,wakubwa wanakunywa michuzi na wine. Sio vibaya kumkirimu mgeni lakini kwa uelewa wangu mdogo ni dharau kwa wavuja jasho, watu wasio na uhakika wa mlo hata mmoja. Tv...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Ni kauli na Dr Sengondo mvungi mhadhiri wa chuo kikuu cha UDSM aliyo itoa hivi punde baada ya kubainika kuwepo kwa shinikizo kutoka UK kuitaka TZ kuruhusu ndoa za jinsia moja...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kauli ya Nape kutetea watoto wa viongozi kupewa vyeo au kubebwe ni kijembe kwa Pinda yakwamba mbona na yeye kapewa hapo chini ni alichosema nape kwenye post yenye link kwa chini kabisa Nnauye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwanzo nilikua sijaelewa ni kwa nini Lema amekubali kwenda gerezani lakini baadae nimeelewa kuwa hizo hapo juu ndizo sababu kubwa kama kunazo nyingine tupeane watu waelewe...............
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasaaalamu Mh. Spika. Natumaini u buheri wa Afya. Mh. Spika.. naomba niseme yangu machache kuhusiana na bara bara yetu ( ya umma) huku Kijitonyama. Mosi, ulianza na kusema kwamba umeomba kibali...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tungependa kuskia tamko ktk kwa viongozi wetu wa chama kuhusu kuunga mkono makamanda wenzetu wa Arusha juu sakata la mh. G.LEMA. Tuelezeni tunawaungaje wenzetu mkono? Tuandamane, tukeshe au...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
CCM ILIPOfika sasa japo kumekuwa na upokenazaji wa madaraka hauna tofauti na ufalme wa ghadafi, aliyekuwa na nguvu nyingi lakini akauawa katika kalvati.... ufanano wapo upo pale 1. ni familia...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Kwa mujibu wa mambo yanavyokwenda kwenye mahakama ya hakimu mkazi wa Arusha ni kuwa Dr. Slaa anaelekea kukosa dhamana na hivyo itamlazimu kupelekwa gerezani Kisongo, ili akakutane na Lema huko...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu Salam. Nimeona ni vema nikawatumia picha kidogo ili mfurahishe macho kuhusiana na mkutano wa baadhi ya Wabunge wa CHADEMA uliofanyika katika Viwanja vya Barafu hapa Dodoma..Maelezo ya...
12 Reactions
113 Replies
13K Views
picha za juu ni matukio yanayoendelea huko mahakamani nitawaletea za kwenye uwanja wa NMC.... Picha za juu ni kwenye uwaja wa NMC ambapo chadema ndipo watakapokesha....
23 Reactions
183 Replies
22K Views
Ndugu wanajf sasa tunaingia katika kuadhimisha kile ambacho kinaitwa miaka 50 ya tanzania ni tanzania ambayo! 1. haki zake za raia zinavunjwa bila maelezo wala hatua kuchukuliwa!! 2. ni nchi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huwa nawashangaa sana watu wanaowabeza walalahoi kama wamachinga, wapiga debe and vijana wa mtaani kujihusisha na kushabikia matukio (kama vile maandamano na mikutano ya hadhara) yanayolenga...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilitazama Bunge asubuhi nikiwa na matarajio kwamba kila kitu kitawekwa pembeni lijadili kwanza hali ya uchumi wetu inayodorora siku hadi siku. Nilisikitishwa kuona kwamba wabunge wako busy...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom