Miaka 50 ya uhuru: Kiongozi gani atayasema/kutukumbusha haya?

Kubingwa

JF-Expert Member
Apr 23, 2010
505
69
1.Uhuru na kazi.
2.Rushwa ni Adui wa haki
3.Sitatoa wala kupokea rushwa
4.Sitojilimbikizia mali
5.Nitasema kweli daima
 
1.Uhuru na kazi.
2.Rushwa ni Adui wa haki
3.Sitatoa wala kupokea rushwa
4.Sitojilimbikizia mali
5.Nitasema kweli daima

Hawa mafisadi hawana haya,huyu JK anaweza akawatamkia Watanzania wazalendo kitu kama hiki,kama anadiriki kumwalika mtoto wa mfalme hapa wakati hali ya Nchi inamshinda ina maana atashindwa kutudanganya. We mwache tu siku itakuja ambao haina jina!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom