Nampongeza Ufo Saro, mwandishi wa ITV aliyeko na Msafara wa Dr Slaa

Status
Not open for further replies.

hagonga

Senior Member
Sep 11, 2010
149
11
Wana JF sijui maoni yenu, Ila mimi nampa Big up huyu mwana Dada!
Hachakachui Picha na habari pale anapowasilisha studio. Pia nampa pole kwa mizunguko yote ya Dr Slaa.

Ningekuwa mshauri wa Dr nitamshauri amkumbuke huyu reporter katika ufalme wake atapoingia ikulu ampandishe Daraja!
 
Ni kweli kwamba watu ambao wanamtendea haki Dr Slaa wanaweza kuombwa kutumikia naye baadaye. Hiyo ni kawaida. Ila wale wanaokubali kutumiwa na CCM kuhujumu jitihada hizi za ukombozi wataumbuka siku chache zijazo.
 
Wana JF sijui maoni yenu, Ila mimi nampa Big up huyu mwana Dada!
Hachakachui Picha na habari pale anapowasilisha studio. Pia nampa pole kwa mizunguko yote ya Dr Slaa.

Ningekuwa mshauri wa Dr nitamshauri amkumbuke huyu reporter katika ufalme wake atapoingia ikulu ampandishe Daraja!
Hagonga, naungana nawe, huyu dada anastahili pongezi kwa kazi nzuri anayomfanyia Dr.Slaa kwenye ITV.
 
Kweli huyu dada mi namkubali sana.

Haogopi kuonyesha msitu wa watu kwenye kampeni ya slaa.
 
Ufo Saro ni repoter mpambanaji: yuko makini na kazi yake. binafsi ninamkubali.
 
nakubaliana na wewe juu ya ufosaro ni jasiri wengine wanapewa vijisent na mafisadi wanachakachua story halisi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom