CHADEMA Hebu Jaribuni na Approach Hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA Hebu Jaribuni na Approach Hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tetere Enjiwa, Nov 7, 2011.

 1. T

  Tetere Enjiwa JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 217
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM na Serikali yake imekuwa ikiwatumia vibaraka wake kukandamiza haki za wananchi. Mfano mzuri ni jinsi wanavyo tumia makanda wa polisi, mahakimu, kutoa maamuzi ya kunyima haki watu. Mimi nadhani imefika wakati sasa kujichukulia sheria mkononi kuwaadhibu hawa vibaraka wanaotumiwa. Naona mngeanzia hapo Arusha kuliko kulala siku saba hapo viwanja vya NMC mngelala nyumbani kwa Zuberi na kwa hakimu aliyekataa kusaini remove order.

  Mimi naona ni wakati muafaka sasa kuwaonyesha hawa vibaraka wa ccm na serikali kuwa wanachakupoteza wanapofanya maamuzi haya ya ukandamizaji. Wanatakiwa wajue kuwa kuna nguvu ya umma inayoweza kuwaadhibu kama hawatafanya haki kwa wananchi, ilivyo sasa wanafanya maamuzi kwa kujua kua wataongezewa vyeo na marupurupu huku wakijua kuwa masikini hawa wa Tz hawana cha kuwafanya, naomba kuwakilisha hoja.
   
 2. j

  jigoku JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hili nadhani linaweza kuwa fundisho kwa CCM na vibaraka wake polisi na Mahakama,najiuliza sana kilichopelekea kukataa kumwachia Lema,au labda sijui sheria kwa wanaojua sheria naomba mtujuze nini kimetokea na sheria inasemaje juu ya hili.maana ninachokiona hapa ni ukandamizaji wa wazi.
   
 3. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Halafu naona mimi hii imepangwa kati ya hakimu na hiyo serikali ili baadae mambo yakiharibika ionekane cdm ndo wabaya. Polisi watajitetea kwamba wao walishakubali atoke lakini hakimu kwa kutekeleza vifungu vya sheria kaamua vinginevo. Hivo wa kulaumu wawe cdm kwamba waliapswa kutii sheria na kurudi majumbani kwao. Hii naona ni janja ya ccm na serikali yake.
   
 4. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Serekali ingetoa muda mwingi kufanya deep analysis za forces behind the CHANGES and not the Personalities involved! The forces which are carrying out some social economy changes can peak out any personalities... and its better that Personalities should be the government itself!!

  Kwa mfano kwanini kukimbizana na Hon G Lema badala ya kuchukua ule WARAKA WAKE 2011 kabla ya kujiachia Gerezani na kuulunganisha na ujumbe wa Azimio La Arusha la 1967... na kuchukua hatua zinazotakiwa Kijamii! Ni waraka wa G Lema ni wa Azimio la UTU NA UBINADAMU kurejea Mtaani that is all ... nani haoni hivyo?

  Kwa sababu kama ni mahitaji ya jamii kuhitaji UTU kama UPENDO, UTU kama HESHIMA na UTU kama MATUMANI ... sio lazima vuguvugu lianzishwe na G Lema ... anybody.. could do that! Na kwa sababu yeyote ile ...KIONGOZI mmjoa akiondoka .. ataotokea mwingine..na akiondoka huyo... atatokea mwingine ..kwani hakuna ushahidi...?

  Hata hivyo nimetumia Maneno UPENDO, HESHIMA na MATUMAINI ...kwani ndio msingi wa Azimio la Utu lililofikiwa huko arusha 1967. WaanzIilishi kama peresonalities ...hawapo ..lakini mbona ..ndio hoja zimetawala WARAKA wa Hon Lema? ... Mbona ndio forces zinatawala Jamii ya Kitanzania? Kwa mfano VioNgozI wote wa Kidini na serekali wamesema BIG NOOO! kwa ndoa za jinsia moja ..WHY?

  Ni kinyume na UTU NA UBINADAMU wa Kitanzania. So? Bora kufa kwa njaa lakini kulinda UTU NA UBINADAMU wa Kitanzania ...Hivi wanaona wanachokisema... Si Azimio la UTU wa Mtanzania hilo la mwaka 1967. Wanamaanisha wanachosema? Yaani wako tayari kukaa mistari kupimiwa unga, sukari , sabuni ... kwa ajili ya UTU NA UBINADAMU WAO ..IS THIS A BIG JOKE!!!??

  Watazania leo wanadiriku kusema wako tayari kukaa kwa njaa ..lakini .. wasimfuatie masharati ya watoa misaada wa nchi za nje? Kwani hii jeuri ya kiutu ili kusimamia Ubinadamu na heshima ya Mtanznaia haipo kwenye azimo la arusha!!? It has nothing to do with Chadema, CCM neither G Lema ..ni swala la Kitaifa. Kwani kila mtu mwenye ufahamu na busara anaona na anafahamu kuwa kama leo wafadhili wametamka hadharani kuhusu ni ndoa gani.. siku nyingine ..watatutamkia wake zetu au binti zetu (Mungu aepushie mbali) ...

  Lazima kuamka na kujiuliza nini kimetokea miaka 50 ya uhuru bado tunategemea Wafadhali na kutamkiwa matamshi yasiyo na adabu kama Taifa huru, yanayovunja HESHIMA, UTU NA UBINADAMU WA MTANZNAIA!! ...again here there is no chasing personalities ..its all about SOCIAL FORCES AND PRINCIPLES!!

  Its Forces no Personalities!!

  Serekali na vyombo vyake vingejifunza kuachana na PERSONALITIES na Kujikita Zaidi na PRINCIPELS. Kama dunia nzima iko kwenye mabadiliko yasiyozuilika cha msingi haijalishi ni nani atakuwa anayafanya. Kumtafuta mtu .. unataka kumfanya nini..? na Historia anasemaje juu ya hilo?

  Kwa mfano UTU wa Mtu unaweza kuzima MABOMU yote ya Nuklia dunia kwa sekunde moja tu! Sasa wewe unataka kuzima nguvu za kijamii kusukuma kurejea UTU mtaani..Unataka kutumia nini? Cha msingi ni kusimamia vuguvugu la mabadiliko ya UTU NA UBINADAMU kwa KUJADILIANA na Bila CHUKI na VITISHO!
   
 5. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja,kama vp tulianzishe
   
 6. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 415
  Trophy Points: 180
  tufanye hivyo kwa mafisadi pia kama hawatovuliwa magamba na chama chao. Nalog off
   
 7. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  vibaraka ndo waku deal nao.
  Wazo zuri mku bila ivyo watatusumbua.
  Tuanze na watumwa then tuje kwa mabwana zao.
   
 8. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Na kama watu wakifikia kufanya hivyo basi haitakuwa rahisi kuwazuia tena!
   
 9. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,052
  Likes Received: 3,083
  Trophy Points: 280
  Kwa kinachojiri Arusha ni dalili za benghazi
   
 10. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Mawazo ya kimapinduzi kwelikweli.
  Naunga mkono hoja.
   
 11. M

  MAURIN Senior Member

  #11
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu mkubwa vita hii CHADEMA tutashinda dhidi ya mkoloni mweusi CCM! Freedom is coming.
   
 12. l

  lyimoc Senior Member

  #12
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja 100 asilimia
   
Loading...