Viongozi wote wanaenda Nje ya Nchi Haya Sasa Makamu wa Pili wa Rais Z'Bar S.Iddi Ziarani Marekani

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
3705.JPG


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mitaji na Maendeleo ya kijamii Bw, Robert S. Shumake yenye Makao Makuu yake jimbo Michigan

3675.JPG


Makamu wa Pili wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiwa pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Wazanzibari Wanaoishi Umarekani mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika Hoteli ya Crown Plaza iliyopo Mjini Washington Dc. Pichani kushoto ya Balozi ni Mwenyekiti wa Jumuiya Dk. Omar Ali, akifuatiwa na Bibi Nasra Ghasani kulia ni Naibu Waziri wa Afya wa Zanzibar, Dk. Sira Ubwa Mamboya akifuatiwa na Nd.Shamis Abdulla
 
Hivi Nchi yetu ina fedha za kigeni kweli... juzi tu Nape Nnauye alikuwa Washington DC, Houston, Dallas, Ohio, New York

Pesa zote hizo zingejenga angalau Daraja sehemu vijijini kwetu; Wakati wa Nyerere viongozi hawakuwa wanasafiri safiri kukimbia Umeme Dar
 
Back
Top Bottom