Upigaji kura Mlima Kilimanjaro: Kumbe ulianza 2009! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upigaji kura Mlima Kilimanjaro: Kumbe ulianza 2009!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ndyoko, Nov 7, 2011.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Hii ni ajabu lakini kweli! Kumbe zoezi la upigaji kura ili kuufanya uwe miongoni mwa maajabu ya dunia lilianza mwaka 2009. Yaani nilivyomuona huyu Waziri Mkurupuka Mizinguo Pinduka akidai hivyo, nilishangaa iweje serikali na idara ya utalii walizubaa kwa muda wote huo kisha wanavuta shuka wakati kumeshakucha na kuhamasisha watz wapige kura? Yaani kuzubaa kila mahali, sijui hii mijitu ikoje?

  Imepewa madaraka kutumikia umma wa watz, wao wanahangaika na mambo ya kijinga tu, then mambo yakiwa yanaelekea kubaya ndo wanakumbuka huku wakijua muda ni kama umekwisha.

  Sijui watajifunza lini kutokana na makosa ya huko nyuma, loh!
   
Loading...